Jilinde usichomwe na mfupa wa samaki na nyoka

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,579
44,826
Wakuu tupo katika club Cha pombe hapa tunapiga stori na wananchi wenzangu mdau mmoja kasema kwamba nyoka akifa ule uti wa mgongo ukibaki ardhini halafu ukachomwa Basi jua umepata majanga Kwani huo mfupa hauonekani kirahisi unaenda mbele haunaga reverse unaenda mpaka kwenye moyo ukikaa vibaya na pia Kuna uwezekano ukapata kansa kubwa..

Na mfupa wa samaki nako na wenyewe sio mzuri hasa ukikuchoma nafuu ukukabe katika shingo.mwiba mwingine hatari Ni wa katani.
 
Mimi hakuna mwiba ninaouogopa kama wa katani. Ule mwiba nikiuangalia tu hua mwili unanisisimka hasa baada ya kuhadithiwa kwamba watu wengi waliofanya kazi kwenye mashamba ya mikonge walitoka wakiwa chongo!
 
Club Cha pombe == kilabu Cha pombe
 
Kuna mzee mmoja almaarufu mzee Kariakoo pale Tegeta kibaoni, alichomwa na mwiba wa samaki kooni, ikawa ndio safari yake mazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…