Jikwamue na NMB Salary Advance

Jikwamue na NMB Salary Advance

NMB Tanzania

Official Account
Joined
Sep 13, 2014
Posts
94
Reaction score
232
Tunakuletea NMB salary advance!
Huduma ya kukuwezesha kupata pesa kabla ya siku ya malipo ya mshahara. Huduma hii ni kwa waajiriwa wa taasisi zote za serikali ambao mishahara yao inapitia NMB, na kwa waajiriwa wa sekta binafsi ambao waajiri wao wana mkataba na NMB. Mshahara wako upitie katika akaunti yako ya NMB kwa muda usiopungua miezi mitatu na pia uwe umejiunga na huduma ya NMB Mobile. Tembelea NMB Salary Advance - NMB Bank Plc. kujua vigezo na masharti.

SA.png
 
Tunakuletea NMB salary advance!
Huduma ya kukuwezesha kupata pesa kabla ya siku ya malipo ya mshahara. Huduma hii ni kwa waajiriwa wa taasisi zote za serikali ambao mishahara yao inapitia NMB, na kwa waajiriwa wa sekta binafsi ambao waajiri wao wana mkataba na NMB. Mshahara wako upitie katika akaunti yako ya NMB kwa muda usiopungua miezi mitatu na pia uwe umejiunga na huduma ya NMB Mobile.

View attachment 807112
NMB fungukeni mnakata shilingi gapi (I mean charges zake zipoje) kwa vigezo gani na mnaiendeshaje! Biashara nzuri ni yenye uwazi!
 
Duh kama wewe ndio ofisi imekuamini kuleta hizi taarifa hakika safari ni ndefu.
Kuna haja gani ya kuleta uzi hapa jamvini alafu unawaambia watu wapitie iyo link tena kwa nini usitoe tu majibu hapa hapa kwa faida ya JF
Achana nae anataka ufate huko ili akakupige fix kwanini hataki kujibu hapa?
Anajua hapa kuna vichwa atatoka kapa akibug, pia nahisi kuna kawizi fulani hataki kuweka wazi kwanini wakati biashara ni kuweka wazi sio kufatana pembeni.
 
Tunakuletea NMB salary advance!
Huduma ya kukuwezesha kupata pesa kabla ya siku ya malipo ya mshahara. Huduma hii ni kwa waajiriwa wa taasisi zote za serikali ambao mishahara yao inapitia NMB, na kwa waajiriwa wa sekta binafsi ambao waajiri wao wana mkataba na NMB. Mshahara wako upitie katika akaunti yako ya NMB kwa muda usiopungua miezi mitatu na pia uwe umejiunga na huduma ya NMB Mobile. Tembelea NMB Salary Advance - NMB Bank Plc. kujua vigezo na masharti.

View attachment 807112
Natambua fika kuwa post yangu hii haitawafurahisha ...lakini huko nyuma tulishawahi kulijadili hili hapa jamvini
Niseme tu kwa uwazi kabisa salary advance yale makato yake ni wizi mkubwa
Gharama za kushughulikia huo mkopo ni kubwa mno nadhani ni asilimia tano au kumi
Kwa mfano napokea milion 2, nikiomba advance ya milion 1 nitalipia elfu 50 au laki moja...sidhani kama hili liko sawa
 
Tunakuletea NMB salary advance!
Huduma ya kukuwezesha kupata pesa kabla ya siku ya malipo ya mshahara. Huduma hii ni kwa waajiriwa wa taasisi zote za serikali ambao mishahara yao inapitia NMB, na kwa waajiriwa wa sekta binafsi ambao waajiri wao wana mkataba na NMB. Mshahara wako upitie katika akaunti yako ya NMB kwa muda usiopungua miezi mitatu na pia uwe umejiunga na huduma ya NMB Mobile. Tembelea NMB Salary Advance - NMB Bank Plc. kujua vigezo na masharti.

View attachment 807112
hakuna maelezo yoyote huko nmb mobile zaidi ya kuletewa ujumbe kuhusu mwajiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo Huduma NMB imewashinda kuna baadhi ya watu wakiomba salary advance wanakimbia,Ndugu mteja ombi lako halikufanikiwa tutakutaarifu zaidi ndani ya masaa 48,
Taarifa wametoa Head Office NMB lakini hakuna chochote walichokifanya
 
Hiyo ni kweli na hawatoi sababu!
 
Back
Top Bottom