MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,481
- 8,605
Heshima kwenu brothers and sisters
MKATA KIU siku za karibuni nimekuwa mdogo, ujanja wote umeniisha sijui kwa nini, I see muda wa mabadiliko ndo umefika na kujitambua
Kiukweli mi ni fan wa bongo flava kiasi chake although toka shule ilivyochukuana nafasi yake na career world ikanipunguzia ushabiki
Nimepata hope kubwa leo na kuwa inspired sana,, at day time, wakati I ws driving back home mawazo kwa mbali ya maisha nikasikia wimbo unapigwa wa ben paul unaitwa jitambue umenitoa kwenye mawazo na sio mbaya nikishare na wakubwa zangu na wadogo wa jamvini,
Hata kama hukupata nafasi ya kwenda shule kila kitu kwenye maisha kinawezekana
Kwenye maisha kila kitu kinawezekana ukijishughulisha
Unaweza ukawa mbunifu wa nguvu kama khadija mwanamboka ukiamua kuwa serious..
Unaweza ukawa president, star kama Jaydee
Kama una saloon ukitia bidii unaweza ukawa mkali kuliko dada maznat... Atumii nguvu lakini kila wekend anafunga hesabu na million kadhaa.. Unaweza ukapika msosi ukatoka kama Dotnata,
Unaweza ukawin mapema kuliko thomas ulimwengu, at 20 ana income kama CEO wa kampuni..
Unaweza kuwa diamond, unaweza kuwa jay,
You can be Boss, you can be a lawyer, unaweza kufika mbali kama Hasheem, unaweza kuwa Twissa, unaweza ukapata tenda za picha kuliko I view,
Unaweza kuwa JB, unaweza kuwa Ray, unaweza kuwa nancy unaweza kuwa
Tanzania ni yako, penda watu wako, kuwa mfano mwema kwenye jamii yako
Hii ni baadhi ya mistari tu ya huo wimbo, nimejikuta nikagundua kumbe bongo flava bado ipo na mambo matamu.. Na kujikuta nikipunguza mawazo kiaina

Last edited by a moderator: