totoadela
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 365
- 1,107
Kama hujui wanapotoa pesa basi usitamani maisha yao, usitamani matumizi yao, ishi maisha yako halisi ukiwa mwenye furaha, mwenye amani na afya tele!
Jikubali, usione watu wana furaha wengi hawana & wana-maumivu makubwa. Huku mitandaoni kila mtu ana kazi nzuri, biashara kubwa & nzuri, kila mmoja ni msomi & anaishi mjini, kila aliyepo huku amefanikiwa, hata kama kula/kulala yake ni shida!
Ishi maisha yako, Jikubali, Jikubali.
Muwe na siku njema