jikuTech
JF-Expert Member
- Apr 9, 2023
- 228
- 290
Kuna Siri nyingi katika Dunia na ulimwengu wote, zilifichwa muda mrefu sana na mataifa machache, lakini muda mrefu ni mrefu kwetu sisi kutokana na ukomo wetu wa muda wa kuishi duniani ila kwa nature (universe ) ni kama usiku na mchana.
Siku hizi kuna AI Inakupa hata mambo ya sirini, inakutolea mizunguko ya jambo Gani utajua wapi, inakuelekeza Nini Cha kufanya ila haiwezi kukufanyia.
Sifundishi kutumia AI Mimi sio mwalimu wa AI japo natumia vizuri ila nahimiza kuelewa tafsri sahihi ya hivi vitu,
Nikama somo la kiswahili linaeleweka lakini watu wanafeli shuleni.
Wenzetu hizi zimekuja sio bahati mbaya, lengo ni kupoteza chimbuko la Tech (kama Mila zilivyo potezwa), Kisha wenyewe wabaki ma KING, ni kama dini ilivyo kuja wajinga wakawa wengi, wajanja walio pinga wakaitwa wachawi, wakawa halamu,
Wote tunafahamu tech ni zao la Mathematics na Physics , kwa halaka halaka chuja mitazamo ya watu kuhusu hili .
Ndio hivyo chimbuko la Tech itakuwa kama asili ambayo itabaki kwa waanzilishi tu,tutabaki kuwa madalali na kudalaliana
Utatokea upotoshaji mkubwa wakupoteza watu wasifahamu chochote kuhusu chimbuko,
kizazi kinacho kuja kama wataendelea kutumia bila kuelewa ni janga sana.
Waanzilishi wa mambo ni mabingwa wakuleta vitu vya kufanya tuendelee kutegemea,
Mfano Watanzania wameweka pembeni ndoto za viwanda vya magari, sio kama hawawezi ila wanaona kama Amna jipya kujidanganya yote yamesha fanywa.
Wanasahau Kila mtu ni wapekee, na upekee wa mtu unamtoka pale anapo badala ya kujifunza ana IGA Kila kitu kutoka kwenye upekee wa mtu mwingine. Kitu kinacholeta matokeo yanayo fanana.
Epuka kauli ya walisha fanya na kuona Amna haja labda kilichopo ni Bora sana, huenda chako kikawa Bora kuzidi kilichopo.
Siku Moja shuleni kwenye somo la hesabu darasani wa kwanza alipata 24 Kati ya 100 , alikua wa kwanza ila kwa sisi wajinga wenzake.
Alikuwa Bora kwetu japo alifeli.
Je nani. Ka kwambia tulipo tumefika na umekubali kuacha kujifunza kwamba hapa tumeshafika tayari,
Huenda Tech Bora za Sasa ni 24 ya 100 na wewe ukija huenda ukapata 65 ya 100 je yako itakuwa Bora kiasi gani.
Huenda ukapata uelewa mzuri kwa kujalibu kujifunza ili kuelewa athali mbaya na nzuri za AI kwa jamii, wachina wameliona mapema na Sasa wanafundisha watoto AI ni kitu gani ili siku Moja wajue nafasi ya AI na Mwanadamu, na mipaka yake na Waendelee kutimiza malengo Yao bila kuyumbishwa na hili wimbi.
Jiku Tech Tips ni kama mwalimu ambaye shuleni anatengeneza watu wanao kuja kumzidi maarifa, na Mwalimu maana yake anafundisha kile kinacho julikana ila wewe haukijui , ila yeye alivyo kijua akaamua kuwa mwalimu ili anaye hitaji kujua afahamu pia bila kujali ukubwa wa manufaa atakayo yapata mtu huyo baada ya kufahamu, Je wewe ukijua utakuwa nani ??.
Mwalimu nika daraja yupo juu anashusha kamba ili mpande muende muendako yeye ndio kazi yake.
Je ! Jiku Tech Tips akiacha kupandisha watu walio baki nani atawapandisha kwa gharama ndogo kama ya Jiku Tech Tips, Jibu ni Wengine watawapandisha ila wenye Hali za chini sana watashindwa kupanda mpaka atokee mwingine kama Jiku Tech Tips.
Kwenye wanyonge ndio kuna watu wa maana wengi kuzidi kundi la daraja la watu wa juu.
Ushauli wangu tambua AI ni kama mwanamke akishiliki tendo na Mwanadamu wakiume anazaa mtoto. Ila sio Kila tendo linaleta mtoto.
Nasio Kila mtoto atakuwa unavyopenda wewe
Tutumie AI vizuri kujikomboa katika wimbi la utegemezi wa technology zinazo wezekana kwa halaka na bila gharama kubwa. Kama Software Development
Ikiwa unatamani kujifunza programming, nafasi ya mkufunzi Bado ipo, usitegemee AI sana ndio vile kiswahili linaeleweka ila sio wote wanafaulu.
Jiku Tech Tips, itakupitisha kwenye safari fupi ya kuwa Software Developer, ni fupi kwa sababu zamani ilikuwa ndefu baada ya AI Sasa ni fupi Sana.
Kufanya Software Development lazima kujifunza lugha za computer ( Programming Languages)
Utajifunza lugha hizi za computer kutokana Jiku Tech Tips HTML, CSS, JavaScript, PHP & MySQL, Java, frameworks react- frontend na springboot- backend, MySQL database
Hayo ni mengi lakini ni mafupi kwa jinsi nilivyo eleza,
Huwezi kupata pesa ikiwa huna Cha kuuza(Cha kubadilishana), Cha kuuza kikiwa sio chako basi unapata pesa kwa muda tu.
Diamond ana taaluma ya mziki, mfanyabiasha mwenye pesa ana taaluma na biashara yake,
Niambie mwenye pesa ambaye Hana taaluma
Usiwaze pesa kabla ya kuimiliki taaluma, miliki taaluma Kisha jifunze kuipatia fedha.
Ukiwaza pesa Kwanza huna tofauti na konda wa daladala.
Nimekutajia lugha hapo kwa mpangilio mzuri Sana,
Kama haujui chochote na utamani kubobea Programming basi au unataka kunyoosha maarifa ya programming ulio nayo.
Jiku Tech Tips Inakupa video session ya vipindi vilivyo tengeneza ma Developer Mahili kwenye Tanzania bila kukanyaga Chuo
Zipo
0. Programming Mindset Session - Bure
1. HTML SESSIONS- sio bure
2. CSS SESSIONS- sio bure
3. JAVASCRIPT SESSIONS - sio bure
4. PHP & MYSQL SESSIONS- sio bure
5. JAVA - sio bure
6. Spring boot Java framework- sio bure
7. React ( JavaScript and Typescript) framework - sio bure
Jifunze zana nyingi zaidi zinasaidia kutoa mtu kwenye matatizo, utasema matatizo Gani kwa kuwa hauja ingia kwenye hayo matatizo, ukiingia ndio unafahamu ni yapi hayo matatizo
Acha kujichelewesha ndoto zako na kujilaumu,,Labda ulikutana na Miongozo ambayo sio sahihi, Jiku Tech Tips ina Miongozo na mafundisho yaliyo nyooka, Labda ushindwe wewe...
Utampata wapi
YouTube - @jikutechtips - Mindset
Jamii forums - JikuTech - Makala za Jumla
Site- Jiku Tech Tips
-miongozo, dokezo na masomo jisajili hapo Wala hautajuta kabisa.
WhatsApp Group : Jiku Tech Tips
WhatsApp Only: 0682329852