Jikoni sauti haisikiki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jikoni sauti haisikiki

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Tangopori, Jul 7, 2012.

 1. Tangopori

  Tangopori JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 1,614
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 180
  [h=6]Bakari ni house boy mara nyingi huiba wine ya boss wake na kisha kuongeza maji kwenye chupa ili boss asigundue.mara kadhaa boss alihisi ladha tofauti anapokunywa wine hivyo kuhisi kuna mchezo mchafu alihisi tu bakari anahusika.ilikuwa ni bahati tu alimvizia na kumbamba bakari akichakachua wine,kwa kuwa mkewe alikua anamtetea bakari,ili kumthibitishia mkewë kuwa bakari ndo culprit,boss alianza kwa kumuuliza bakari maswali siku hiyo bakari alikua jikoni,boss na mkewe walikuwa sebuleni.

  BOSS:bakariiii!
  BAKARI:naam baba!

  BOSI:nani anakunywa wine yangu?
  BAKARI:kimyaaaa hajibu kitu
  BOSI:bakariii!
  BAKARI:naam baba!
  BOSI:nauliza nani anakunywa wine yangu halafu anajazia majiii!
  BAKARI:kimyaaa,bosi akaamua amfuate hukohuko jikoni

  BOSI:kwanini nikikuita unaitika,nikikuuliza unanyamaza?
  BAKARI:baba huku jikoni ndo kulivyo,unasikia jina tu likiitwa lakini maneno mengine husikii na kama huamini baki jikoni mi niende sebuleni!bakari akaenda sebuleni akaanza kuita!

  BAKARI:babaa!
  BOSI:naam bakari!
  BAKARI:saa 6 usiku huwa unaenda kufanya nini chumba cha house girl?
  BOSI:kimyaaaaa!
  BAKARI:baba babaa!
  BOSI:ndio bakari!
  BAKARI:nauliza hivii,chumbani kwa house girl saa 6 usiku hua wafuata nini?
  BOSI:kimyaaaaa!
  Bosi akatoka nje bakari huku jikoni kweli husikii kitu zaidi ya jina!dah!
  [/h]
   
 2. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,322
  Likes Received: 2,307
  Trophy Points: 280
  tehe tehe una ugomvi na watu wewe
   
 3. Prisoner 46664

  Prisoner 46664 JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2012
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 1,955
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Ha ha ha haaaaaa
   
 4. s

  sapaka Member

  #4
  Jul 7, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  i like it.giv us more!
   
 5. c

  chen Member

  #5
  Jul 7, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mnabore sana nyie mnao rudia rudia mada ambazo zilisha wekwa humu
   
 6. Salathiel m.

  Salathiel m. JF-Expert Member

  #6
  Jul 8, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 241
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hiii mi skuiona ni nzur sana
   
 7. Salathiel m.

  Salathiel m. JF-Expert Member

  #7
  Jul 8, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 241
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hiii mi skuiona ni nzur sana
   
Loading...