Tangopori
JF-Expert Member
- May 11, 2012
- 1,628
- 1,289
[h=6]Bakari ni house boy mara nyingi huiba wine ya boss wake na kisha kuongeza maji kwenye chupa ili boss asigundue.mara kadhaa boss alihisi ladha tofauti anapokunywa wine hivyo kuhisi kuna mchezo mchafu alihisi tu bakari anahusika.ilikuwa ni bahati tu alimvizia na kumbamba bakari akichakachua wine,kwa kuwa mkewe alikua anamtetea bakari,ili kumthibitishia mkewë kuwa bakari ndo culprit,boss alianza kwa kumuuliza bakari maswali siku hiyo bakari alikua jikoni,boss na mkewe walikuwa sebuleni.
BOSS:bakariiii!
BAKARI:naam baba!
BOSI:nani anakunywa wine yangu?
BAKARI:kimyaaaa hajibu kitu
BOSI:bakariii!
BAKARI:naam baba!
BOSI:nauliza nani anakunywa wine yangu halafu anajazia majiii!
BAKARI:kimyaaa,bosi akaamua amfuate hukohuko jikoni
BOSI:kwanini nikikuita unaitika,nikikuuliza unanyamaza?
BAKARI:baba huku jikoni ndo kulivyo,unasikia jina tu likiitwa lakini maneno mengine husikii na kama huamini baki jikoni mi niende sebuleni!bakari akaenda sebuleni akaanza kuita!
BAKARI:babaa!
BOSI:naam bakari!
BAKARI:saa 6 usiku huwa unaenda kufanya nini chumba cha house girl?
BOSI:kimyaaaaa!
BAKARI:baba babaa!
BOSI:ndio bakari!
BAKARI:nauliza hivii,chumbani kwa house girl saa 6 usiku hua wafuata nini?
BOSI:kimyaaaaa!
Bosi akatoka nje bakari huku jikoni kweli husikii kitu zaidi ya jina!dah![/h]