donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Ukikuta nakula hivi usitegemee kukaribishwa kwani Mimi mwenyewe hakinitoshi
Aisee kwenye mlenda na maziwa mpaka Bi mkubwa nilishaga mwambia kama kunamtu anataka kuniua hana haja ya kuhangaika sana aweke tu sumu kwenye hizo mboga ameshanikamata
Hongera mkuuNimetamani sema me vegetarian
Kilichofuata ni nguna mkuuUmetisha hapo pamekosekana ugali tu na maji ya baridi..
Tisha,mkuu
Manina,ukila hiv,we ni kuanzia gol 4 kwenda mbeleTisha,mkuu
Mkuu kitu cha asili hiki.Hapa ukimkamata shem ataomba maji ya kunywa
Duh! Mm siwezi kula iyo
Ugali siupendi lakini kwahiyo kitu nyeupe kwenye kikombe natulia
Haha shukrani mkuu ntaimprovise next timUsingeweka nyanya bana
Ila umejitahidi sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]