KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,711
- 12,068
Mi juzi nililiwa alfu 12, afu nikaambulia patupu.
Hiyo ni gambling kama zilivyo gambling zingine zozote. Ukitaka kupata hivyo vitu vifanyie kazi, ila hii tabia ya watanzania ya kupenda vitu vya bure ndiyo inayowa-cost watu. Eti unakuta wanakutumia swali: kifupi cha chama cha mapinduzi ni A.ccm B. pondolo C. mwanza............sasa unajiuliza hivi kuna mtu wa kukosa hili swali kweli.........kaaaaaazi. Wajinga ndio wamegwao na itabaki kuwa hivyo forever and ever.
.
Ujinga wetu ndio unaotutafuna.
Labda umasikini wetu ndio chanzo cha mahangaiko yote haya.
Mnagombania gri moja la milioni 100 kwa miezi zaidi ya mitatu na kama ukipiga hesabu ya makisio ya haraka haraka unakuta wanakusanya faida kubwa mno!
Tigo sio rahisi, ni wajanja zaidi wakiegemea kwa walalahoi wanaodanganyika kirahisi.
Yawezekana kuna watu wanapata,
lakini kama milioni 2 zinatoka kila siku kwa mtanzania yeyote kwelikweli inaweza kuinua walio wengi sana. Usiri wa zoezi zima una utata. Ina maana mtu anaweza kupata milioni 2 kila siku kwa kijirudiarudia, maana kama umepata ya kwanza si unawekeza kwa mchezo huo tu kiwango kikubwa? asiyewahi kupata ataweza vipi kushindana katika hali hiyo? Twaongopeana, ni DECI nyingine hiyo.
In fact siyo tu wananunulia na hiyo pesa ya promosheni, bali pia wanapata faida big tyme katika kila siku. My understanding ni kwamba hiyo ni biashara kama zilivyo biashara nyingine za gambling... jamaa wanakusanya tuseme milioni 50 kwa siku then wanatoa gari lenye thamani ya sh milioni 10 faida milioni 40. sasa kwa kuwa mtu hulazimishwi kushiriki, sidhani kama ni busara kulalamika. Ila for heaven's sake watu wapewe chance ya kushinda basi!!! maana nina wasiwasi watu wananunua ushindi.----kale kaprogram wanachotumia inawezekana kabisa ku-determine namba unayotaka ishinde kabla ya kubofya kitufe cha kompyuta.... siyo mtaalam wa IT kwa saana lakini najua inawezekana. Tafakari chukua hatua.....Haya yote tunajitakia wenyewe, hivi unategemea hizo Hyundai zinanunuliwa na nini kama sio pesa hiyo ya promosheni!
Goma Kushiriki ndo suluhisho...kwa ufupi makampuni ya simu yanafaida kubwa sanaa especially hawa Vodacom..jamaa wanakusanya tuseme milioni 50 kwa siku then wanatoa gari lenye thamani ya sh milioni 10 faida milioni 40. sasa kwa kuwa mtu hulazimishwi kushiriki, sidhani kama ni busara kulalamika. Ila for heaven's sake watu wapewe chance ya kushinda basi!!! maana nina wasiwasi watu wananunua ushindi.----kale kaprogram wanachotumia inawezekana kabisa ku-determine namba unayotaka ishinde kabla ya kubofya kitufe cha kompyuta.... siyo mtaalam wa IT kwa saana lakini najua inawezekana. Tafakari chukua hatua.....