Jiko la shamba halichaguwi kuni

Falcon

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2010
Posts
245
Reaction score
68
Unapo sikia na kuona mijitu mizima iliyokwisha zao inatowa magari na harama nyingine kwa kabinti kama huyu alimradi tu shoka lifanye kazi yake ,kuna uwezekano anayowafanyia hata kwa wake zao au wapenzi wao hawafanyiwi.au hawapewi fursa ya kufanya.
 
Tatizo Jiko lenyewe liko segerea sasa hivi kuni litazichagulia wapi?
 
Ni tabia ya uzinzi tu walio nayo wanadamu wake kwa waume hakuna cha kufanyiwa nini wala nini!
 

Ni tabia ya uzinzi tu walio nayo
wanadamu wake kwa waume
hakuna cha kufanyiwa nini
wala nini!
 
Hata kufundwa hajafundwa. Kama kina nanihii.
 
Katoto haka bwana!!! gerezani kule kazi wanayo, maafisa na nyota zao wanoe mapanga tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…