Kimbito nyama
Senior Member
- Apr 10, 2012
- 157
- 38
Inatakiwa ujifungie kwenye room halafu uwashe vyote kwa pamoja, ikiwezekana legeza mfuniko wa mtungi wa gesi kidogo!
kwanza koma kuniita muoongo wakati hujui matumizi yangu.....
Pili ndo maana nikasema inategemea na matumizi yake anapika mara ngpi,
tatu kwa nini uchemshe chai kwenye jiko waka jug za umeme zipo?
Nne kutumia gesi muda mrefu au mfupi ni uamuzi wako, mfano wali ni iwenye rice maker, gas ni unaweza chemsha maharage(pressur cooker inahusika) ya wiki nzima then unayaweka kwenye frezer kazi yako ukirudi jioni ni kuunga tu....
Kazungumzia watu 3, nimeassume wanajishughu t sound girlish, wot does it mean koma?
Kwa mliotumia gesi kwa muda mrefu hivi mtungi ule wa ujazo wa gesi kg15 kwa makisio unaweza ukapikia kwa muda gani kwa familia ya watu watatu?
kwanza koma kuniita muoongo wakati hujui matumizi yangu.....
Pili ndo maana nikasema inategemea na matumizi yake anapika mara ngpi,
tatu kwa nini uchemshe chai kwenye jiko waka jug za umeme zipo?
Nne kutumia gesi muda mrefu au mfupi ni uamuzi wako, mfano wali ni iwenye rice maker, gas ni unaweza chemsha maharage(pressur cooker inahusika) ya wiki nzima then unayaweka kwenye frezer kazi yako ukirudi jioni ni kuunga tu....
Kazungumzia watu 3, nimeassume wanajishughu t sound girlish, wot does it mean koma?
Nimeupenda ufafanuzi wako.
kwa mliotumia gesi kwa muda mrefu hivi mtungi ule wa ujazo wa gesi kg15 kwa makisio unaweza ukapikia kwa muda gani kwa familia ya watu watatu?
ndo maana unashauliwa kuchagua mtungi mzuri unaponunua gas!ule mtungi wa gesi ukipata joto kali unalipuka kama bomu,
miaka ya 70 hospital ya haidom kule mbulu ulitokea
mlipuku wa mitungu ya gesi baada ya linkage,
lol, ile milipuku ilikuwa karibia ile ya mabomu ya mbagala.
gesi si nafuu tena!!! Mkaa ni nafuu kuliko gesi na umeme!!! Japo kampeni zinasema kinyume chake
familia yangu mimi ni watu wawili, natumia mtungi wa kg 15 kwa siku 40,maji ya kuoga asubuhi na jioni, maharage, makande, makorokoro yote napikia hapo
inafuatana upo wapi mkuu ila kwa dar gas ni nafuu sana!
Habari wakuu jf!jamani mwenzenu nina swali kwa wale watumiaji wa jiko la gesi,swali ni je?naweza kupikia jiko la gesi afu at the same time liko karibu na jiko la mkaa lenye moto je kuna madhara yoyote ?