Jiko la gesi lilivyozima ndoto na uhai wa Familia ya Abedi Falhum Msangi

Hii stori kuna vitu havijakaa sawa. Huwezi kuwa umezingirwa na moto halafu uwe macho unaingia na kutoka.

Mtu aliyeungua kiasi hicho hawezi kuongea na kukupa stori namna hii.
Dah inawezekana hujawahi kuwa na mgonjwa aliyeungua moto mkuu,mi nishauguza ndugu yangu wa karibu hapo hapo sewahaji,ile hodi ilikuwa imejaa wagonjwa wa moto na wote walikuwa wanapiga story vizuri tu ila kila cku alikuwa anaondoka mmoja mmoja,ndugu yangu ambaye nilimuona kabisa anaweza kusurvive alifariki baada ya kukaa miezi miwili,kimsingi ukishaungua zaidi ya asilimia 40 lazima ufe tu hata kama watu watakuona mzima sababu kuna vital organs hazitafanya kazi tena.
 
Yaani kuna watu mnajikuta wajuaji mpaka mna boa kumbuka kwenye ajali unaweza kuwa jasiri baadae ndipo unajiuliza hivi niliwezaje kutenda yale
Watanzania tabia ya kutumia akili ilikufa kabisa na ndio maana maendeleo yanachelewa.

Mtu ambaye amezingirwa na moto mwili mzima macho huwa ndio yanakuwa ya kwanza kuharibika.

Mwandishi wa hii stori ameweka chumvi nyingi sana. Ukiwa na 3rd degree burn huwezi kuelezea stori ya matukio namna alivyoandika.

Hata hivyo, my condolences to all affected people.
 
Dah inawezekana hujawahi kuwa na mgonjwa aliyeungua moto mkuu,mi nishauguza ndugu yangu wa karibu hapo hapo sewahaji,ile hodi ilikuwa imejaa wagonjwa wa moto na wote walikuwa wanapiga story vizuri tu ila kila cku alikuwa anaondoka mmoja mmoja,ndugu yangu ambaye nilimuona kabisa anaweza kusurvive alifariki baada ya kukaa miezi miwili,kimsingi ukishaungua zaidi ya asilimia 40 lazima ufe tu hata kama watu watakuona mzima sababu kuna vital organs hazitafanya kazi tena.
Nimekuelewa mkuu. Ila aliyeleta hii stori amefanya exaggeration nyingi sana. Mtu ambaye amezingirwa na moto hawezi kuingia na kutoka ndani mara tatu. Halafu ikawaje macho yakawa bado yanaona?
 
Back
Top Bottom