Jiko la gesi lilivyozima ndoto na uhai wa Familia ya Abedi Falhum Msangi

Out of Topic, Matumizi ya gesi chenga Sana , inaweza kata usku ugali ndo umechemka , aisee hapo lazima ukombe mboga au ulale njaa
 
Gesi imesha leta madhara kwa watu wengi sana,kikubwa ni kufuata masharti,yani hatutakiwi kudharau hata siku moja.Mara nyingi inatakiwa kabla ya kuwasha gesi milango na madirisha ni vizuri vikiwa wazi,ikishawaka ndio unashauriwa kufunga,kingine ni kusikiliza harufu kabla ya kuwasha,ukisikia kuna harufu tu ya gesi usijaribu kabisa kuwasha chochote,Anyway ajali huwa haina kinga ila ni vizuri kuchukua tahadhari kila inapobidi...
Hivi maana ya maneno kuwa "AJALI HAINA KINGA" ni nini?. Yaani huwa sielewi kabisa maana yake.

Kwamba mwanadamu hana uwezo wa kufanya ajali zisitokee hapa Duniani? Kwamb hana kabisa uwezo huo au ni nini? Naomba mwenye kufahamu zaidi anisaidie hapa..
 
Back
Top Bottom