jon doe vigilante
Member
- Oct 26, 2018
- 58
- 139
Habari mbaya huvuma sana kuliko habari njema.
Miaka ya nyuma ilikua fahari sana mtu kutambulika kama mwenyej wa Dar hasa unapokuwa katika maeneo mengine hapa nchini tanzagiza huku mbwembwe na mikogo vikitawala dhidi ya wenyeji wa maeneo hayo.
Mtu alikuwa akisikia jina Dar es Salaam kwanza kabisa kichwani mwake ilikuwa ni lazima ajenge taswira ya mandhari adhimu ya jiji hili na namna anavyoweza kupambana na vijana ngangari wachakarikaji wa enzi hizo ndani ya jiji.
Lakini sasa ni wazi zama zimebadilika na si ajabu mtu kutoka Namanditi au Kayenze ndani ndani kulisikia jina Dar es Salaam na moja kwa moja kichwani kwake ikajengeka picha ya mwanaume aliejifunga kanga kiunoni huku akikatika kama feni mbele ya mwanaume mwenzake tayari kwa kupakuliwa.
Sifa halisia ya jiji hili tukufu imepotezwa na wakazi mazwazwa sasa hivi tunaiongelea Dar ambayo inaendeshwa na majemedari kutoka mikoani wakiwa mashika nyanja muhimu za kiuchumi huku wazawa wa jiji wakiwa kwenye madanguro wakitifuana topee kama wajukuu wa ibilisi.
Dar ambayo baba anaweza kuliwa mama nae akaliwa mtoto naye akaliwa bila kujali jinsia! Dar ambayo vitambi vimekuwa vingi zaidi ya ujauzito na sasa Serikali ya mkoa imeamua kuingia msituni kama Joseph Konyi kuwasaka mashoga katika kila kona ya jiji.
Ni wazi jiji hili tukufu linapita katka moja ya nyakati ngumu kabisa kimaadili.