Kwanza ana dharau sana hasa ukimweleza shida zinazowakabili wananchi,atakujibu huku anajilambalamba midomo na kubinua mdomo tena lips Nazo zimekandikwa mafuta utafikiri kala vitumbua vya barabara ya 9Dodoma anapata na yule dogo Mavunde mshamba tu nae watampa ila hamna lolote analowafanyia.
Duh!Kwanza ana dharau sana hasa ukimweleza shida zinazowakabili wananchi,atakujibu huku anajilambalamba midomo na kubinua mdomo tena lips Nazo zimekandikwa mafuta utafikiri kala vitumbua vya barabara ya 9
Mchagueni Lissu atawaletea maji kwani Hilo no hitaji muhimu! Akili za ccm sijui zimekaa upande gani wa miili yao! Miaka 50+ ya utawala wao bado wanashindwa kuwatatulia wananchi kero ya maji! Sasa waliipa dodoma hadhi ya jiji ya Nini ilihali Haina maji? Dodoma morning kura Lissu awaondolee kero ya maji!Inaelezwa jiji la Dodoma linakabiliwa na uhaba mkubwa wa maji uliopelekea dumu kuuzwa kwa bei ya Tsh 1000 katika mji mkuu huo wa Tanzania
Chanzo: Gazeti la mwananchi kupitia Facebook page yao
Tukutane kwenye comment
CCM ni walafi sana na hawajali maisha ya wanyonge ,hivi wameshindwa kuuza "V8" zao hata mbili na kuwachimbia wananchi wa dodoma visima? Ndio kujali wanyonge huko?Inaelezwa jiji la Dodoma linakabiliwa na uhaba mkubwa wa maji uliopelekea dumu kuuzwa kwa bei ya Tsh 1000 katika mji mkuu huo wa Tanzania
Chanzo: Gazeti la mwananchi kupitia Facebook page yao
Tukutane kwenye comment
Weweee, hizo vii eitee usiziguse wanatembelea vigogo tu wa chama pendwa. Hivi hakuna mwarobaini mwingine wa upatikanaji maji Dodoma hadi tuanze kufikiria mradi wa kuyavuta ziwa victoria?CCM ni walafi sana na hawajali maisha ya wanyonge ,hivi wameshindwa kuuza "V8" zao hata mbili na kuwachimbia wananchi wa dodoma visima? Ndio kujali wanyonge huko?
magufuli mitano tenaCCM ni walafi sana na hawajali maisha ya wanyonge ,hivi wameshindwa kuuza "V8" zao hata mbili na kuwachimbia wananchi wa dodoma visima? Ndio kujali wanyonge huko?
nazani mtela ni kalibu zaidiWeweee, hizo vii eitee usiziguse wanatembelea vigogo tu wa chama pendwa. Hivi hakuna mwarobaini mwingine wa upatikanaji maji Dodoma hadi tuanze kufikiria mradi wa kuyavuta ziwa victoria?
Msijali mkuu ule uwanja wa Mfalme na ring road zitawapooza machungu kila mkipanga foleni ya maji na madiaba yenu.Kisasa tunapata maji kila silu kwa masaa 6 tu
Mtera ipo less than 120 kmThe magic bullet kwa hili tatizo ni maji kutoka ziwa Victoria period na kufuatiwa na nationwide water grid kama ilivyo kwenye umeme. Maji yatoke kwenye maziwa yetu makuu na kusambazwa sehemu mbalimbali za nchi hii.
Dodoma yote tu Mkuu, Duwasa chini ya Pallangyo wanasema mara mashine moja imefeli wamaweka mpyadodoma sehemu gani mkuu!?.
Wewe ni mwana CCM? Unajua kama mtera huwa maji yanaisha kabisa? Hayo ya kuletwa dodoma yatatoka wapi.nazani mtela ni kalibu zaidi
Weweee, hizo vii eitee usiziguse wanatembelea vigogo tu wa chama pendwa. Hivi hakuna mwarobaini mwingine wa upatikanaji maji Dodoma hadi tuanze kufikiria mradi wa kuyavuta ziwa victoria?
Huyo anaenda kupumzika ,kazi imemshinda.magufuli mitano tena
Dodoma Kwa Hatua Ya Jiji Haina Hadhi Hiyo
Labda Kwenye Siasa, Ila Ukweli Ilitakiwa Iwe Hata Wilaya
Mambo Mengi Sana Bado
Ndio tatizo la serikali hii.Huo ndo uchumi wa Kati, Dodoma inahitaji zaidi uwanja wa ndege wa kimataifa kuliko maji!