mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,337
- 12,469
dodoma sehemu gani mkuu!?.Inaelezwa jiji la Dodoma linakabiliwa na uhaba mkubwa wa maji uliopelekea dumu kuuzwa kwa bei ya Tsh 1000 katika mji mkuu huo wa Tanzania
Chanzo: Gazeti la mwananchi kupitia Facebook page yao
Tukutane kwenye comment
Chamwino ikuludodoma sehemu gani mkuu!?.
NCHI YA UCHUMI WA KATI WEWE ACHA KUTUHARIBIAInaelezwa jiji la Dodoma linakabiliwa na uhaba mkubwa wa maji uliopelekea dumu kuuzwa kwa bei ya Tsh 1000 katika mji mkuu huo wa Tanzania
Chanzo: Gazeti la mwananchi kupitia Facebook page yao
Tukutane kwenye comment
duh!? basi ni changamoto sana mkuu, nlikua na semina last week hapo nkafikia karibu na mjini maeneo yanaitwa kikuyu, changamoto nliyokutana nayo ilikua maji ya chumvi na kupauka.. ila hyo shida nliambiwa ipo sana wilaya ya BAHI. .Chamwino ikulu
hali ni ngumu hapoInaelezwa jiji la Dodoma linakabiliwa na uhaba mkubwa wa maji uliopelekea dumu kuuzwa kwa bei ya Tsh 1000 katika mji mkuu huo wa Tanzania
Chanzo: Gazeti la mwananchi kupitia Facebook page yao
Tukutane kwenye comment
Inaelezwa jiji la Dodoma linakabiliwa na uhaba mkubwa wa maji uliopelekea dumu kuuzwa kwa bei ya Tsh 1000 katika mji mkuu huo wa Tanzania
Chanzo: Gazeti la mwananchi kupitia Facebook page yao
Tukutane kwenye comment
Washazoea ,walipigwa ban ya 6 mounth na bado azory haonekaniMwananchi lijianda kwa adhabu
Mbona chamwino hiyo ni kawaida hata mzee alivyohamia kule si walimwambia tatizo ni maji na umemeduh!? basi ni changamoto sana mkuu, nlikua na semina last week hapo nkafikia karibu na mjini maeneo yanaitwa kikuyu, changamoto nliyokutana nayo ilikua maji ya chumvi na kupauka.. ila hyo shida nliambiwa ipo sana wilaya ya BAHI. .
wahusika walishughulikie hili.
Kidumu Chama Cha Majambazi CCM. Dodoma kuweni na jambo lenu 28/10/2020.Inaelezwa jiji la Dodoma linakabiliwa na uhaba mkubwa wa maji uliopelekea dumu kuuzwa kwa bei ya Tsh 1000 katika mji mkuu huo wa Tanzania
Chanzo: Gazeti la mwananchi kupitia Facebook page yao
Tukutane kwenye comment
Kikuyu inapata maji kila baada ya siku 3 kuna mgawo wa maji jiji zima.duh!? basi ni changamoto sana mkuu, nlikua na semina last week hapo nkafikia karibu na mjini maeneo yanaitwa kikuyu, changamoto nliyokutana nayo ilikua maji ya chumvi na kupauka.. ila hyo shida nliambiwa ipo sana wilaya ya BAHI. .
wahusika walishughulikie hili.
Dodoma nmekaa sana pale! Kwakweli maisha ya pale sio rafiki, Maji kwanza ya shida na yana chumvi ile mbaya, kupausha nguo au kupauka wakati umetoka kuoga ni swala la kawaida tu..Inaelezwa jiji la Dodoma linakabiliwa na uhaba mkubwa wa maji uliopelekea dumu kuuzwa kwa bei ya Tsh 1000 katika mji mkuu huo wa Tanzania
Chanzo: Gazeti la mwananchi kupitia Facebook page yao
Tukutane kwenye comment
Wagogo wajinga tu, mji umejaa mabango ya CCM hadi kwenye milango yao huku maji wanapata kwa mgawo.Kidumu Chama Cha Majambazi CCM. Dodoma kuweni na jambo lenu 28/10/2020.
Ukiwauliza sababu DUWASA wanajibu eti kuna ongezeko la watumiaji maji sasa jiulize wakati huu wana vyuo hawapo wakirejea si ndio itakuwa mara moja kila baada ya siku 7Maji hadi leo ni tabu nchi hii,tena makao makuu ya nchi
Tumelogwa sisi wabongo
Wagogo wajinga tu, mji umejaa mabango ya CCM hadi kwenye milango yao huku maji wanapata kwa mgawo.
Yani yakitoka eneo lenu leo basi baada ya siku 3 ndio mtayaona tena, watu wa Nkuhungu ndio kwisha kabisa kwao maji ni sawa na uchaguzi mkuu kufanyika kila baada ya 5yrs
Na bado jiwe atapewa kura kwa kisingizio eti maji hamna kwa sababu za ukame ila nchi kama Iraq,saudia na Algeria hawalii shida ya maji kama hapaKikuyu inapata maji kila baada ya siku 3 kuna mgawo wa maji jiji zima.
Dodoma panafaa ukiwa na fedha kwa sababu kwa sasa maisha yake ni ghali.Dodoma nmekaa sana pale! Kwakweli maisha ya pale sio rafiki, Maji kwanza ya shida na yana chumvi ile mbaya, kupausha nguo au kupauka wakati umetoka kuoga ni swala la kawaida tu..
........Dodoma bado sana maendeleo ya kijamii afu ndio makao makuu!
Sent using Jamii Forums mobile app