mellisatz
Member
- May 10, 2015
- 89
- 46
yaani Tanga imezizima bila hata fiesta! kweli lowasa ni dawa ya CCM
Cc Mange Kimambi, kama nakuona unavyotoa mimacho km mjusi.... i love being in ukawa, hatuna kelele ni vitendo tu ama nn?
yaani Tanga imezizima bila hata fiesta! kweli lowasa ni dawa ya CCM
mantiki ya kuhahirisha mikutano... nini..? .. sawa watu wamezidiwa.. mbona kaomba kura.. ? hii janja ya ukawa..sijui mwisho wake nini. ? hichi kigezo cha mafuriko .. nitakuwa tomaso kusema ndio kigezo cha mabadiliko....
kweli propaganda zimetamalaki...
i believe pale walikuepo makada wenzako wa ccm better uulize hao km huamn.......ila ukwel ni kwamba watu walijaa mno mpk akina mama wakaanza kuanguka kwa kukosa hewa so tukaambiwa mkutano umeahirishwa.
watu wengi sana tukaondoka including mimi (ijulikane watu walijaa mpk barabara ya 8 km mwenyej wa tanga utaelewa), lakn nimepigiw simu baada ya watu kupungua mkutano umeendelea
Chonde chonde waislamu wezangu tukimchanguwa lowassa tutakandamizwa mahana kwamba lowassa rafiki yake gwajima.na hinafahamika gwajima atupendi kwa sababu alishawai kumsemea mbovu kadinali pengo baada ya kukubali mahakama ya kadhi.
Ndugu yangu Maganga Mkweli at times tunabidi tuweke siasa na vyama vyetu pembeni tuwe rational and realistic
Nimeongea na ndugu yangu ambae ni staff wa Red Cross Society na ni dhahiri kuwa hali haikuwa njema na ilihitajika kutumia busara zaidi
Kwanza watu walikuwa wakiendelea kuongezeka eneo la mkutano lakini watu walishaanza kuzimia na kufikia hatua hata wao wanazidiwa kuwahudumia
Hivyo ikalazimu washauriane kutoendelea na mkutano maana idadi ya watu inazidi kuongezeka na wanaozidi kuzimia pia wanaongezeka
Na hofu ikawa kama wangeendelea mpaka giza likaanza (ukumbuke Tanga huongoza kwa jua kuzama na giza kutanda mapema sana) hivyo wangezidi hali ingekuwa mbaya thereafter
Ndiyo wakakubaliana asimame tu ashukuru, aombe kura lakini wafunge mkutano wasiendelee
Shabikianeni mambo yenu na mavyama yenu lakini inapofika mahali pa usalama wa Watanzania hili ni muhimu zaidi
#KunaMaishaBaadaYaUchaguzi