Jiji limezizima

Jiji limezizima

Lowasa nitakuchagua maana sihitaji mfanya mazoezi mi nataka visionary leader. Tanga kumbe ccm wote wameenda mgogoro umebuma. Tangaaaa pigen chini chama chakavu screpa & used!!!
 
Wakati mwingine nikisoma comments za watu humu ndani napata wasiwasi kama kweli akili zao zina akili.Anyway,ndo jamii yetu jinsi ilivyo.
 
haya yote ukomo wake 25oct ndo hapo utajua kuwa mnajitekenya na kucheka wenyewe
 
umati huo umekuja kushangaa kama kweli mwizi amepewa ridhaa ya kugombea urais
 
Chonde chonde waislamu wezangu tukimchanguwa lowassa tutakandamizwa mahana kwamba lowassa rafiki yake gwajima.na hinafahamika gwajima atupendi kwa sababu alishawai kumsemea mbovu kadinali pengo baada ya kukubali mahakama ya kadhi.

we umetoloka lini dodoma milembe?alafu usitudhalilishe waislam sasa ivi tunajielewa alitupata jk kwa alichotutendea na yeye ni muislam sijui itakuaje tukimkabizi kula zatu mgufuli!apa ni lowasa akatutolee shekhe Ponda wetu
 
Umati mkubwa uliojitokeza viwanja vya tangamano jijini Tanga umepelekea mkutano kuarishwaa ili kupunguza watu na kuendelea ndani ya dakika tano
nasema haijawahi kutokea na haita tokea kweli Lowassa kipenz cha watu
#viva lowassa #viva ukawa

inamana wameizidi morogoro?!alafu hii mikoa miwili si ndio ngome ya ccm??!!
 
Nimepata taarifa kutoka.kwa ndugu yangu aliyekuwepo kwemye mkutano, yeye ni ccm na anasema hajawahi kuona umati ule hadi mkutano ukashindwa fanyika. Taarifa hizi ni za kweli. Tanga mmevunja rekodi. Punguzeni jamani mtaua watu kwa presha hata kabla ya uchaguzi

Sema wapunguze "MAHABA"
 
mantiki ya kuhahirisha mikutano... nini..? .. sawa watu wamezidiwa.. mbona kaomba kura.. ? hii janja ya ukawa..sijui mwisho wake nini. ? hichi kigezo cha mafuriko .. nitakuwa tomaso kusema ndio kigezo cha mabadiliko....
kweli propaganda zimetamalaki...
 
inamana wameizidi morogoro?!alafu hii mikoa miwili si ndio ngome ya ccm??!!

moro wakasome ccm hawana cha ngome mwaka huu hizo ngome hawazithamin wameuwa viwanda bandar kuna cha ungome hapo alaf nimesahau katani watatoka juu ya bati
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom