Jiji limezizima

Jiji limezizima

Hebu eleza vizuri watu wamepunguzwaje? Habari hii ni ya kutumbwiza kama jina lako!!
 
Hebu eleza vizuri watu wamepunguzwaje? Habari hii ni ya kutumbwiza kama jina lako!!

hali ilikuwa si shwar uwanjani watu walizimia kila dakika kutokana na kukosa hewa na msongamano hivo mkutano ukahairishwa kwa kuofia usalama wa watu ni hayo tu
 
umati mkubwa uliojitokeza viwanja vya tangamano jijini tanga umepelekea mkutano kuarishwaa ili kupunguza watu na kuendelea ndan ya dakika tano
nasema haijawahi kutokea na haita tokea kweli lowassa kipenz cha watu
#viva lowassa #viva ukawa
Duh! Hizi propaganda za kitoto sana. Yaani watu utaweza kuwaondoa ndani ya dakika tano? Hapo umechemka mkuu. Jipange upya
 
Taarifa toka tanga...

Mkutano wa ukawa umeahirishwa kaw muda na kupunguza watu maana uwanja umekua finyu hadi watu wamekosa hewa wanazimia...ni uwanja wa tangamano walikotumia ccm na magufuli...
 
Dah lowasa mabadilikoo na nikisema magufuli makamanda wote mnashika vichwa na kupiga yowe uwiiii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom