Jiji la Mwanza lachaguliwa na ATCL kama Kitovu cha Ndege za Tanzania zinazokwenda Ulaya

Kama hii habari inaukweli kwanini walijenga uwanja mpya Dar? Je Mwanza Airport kiusalama na uwezo wa kuchukua abiria wengi kwa wakati mmoja. Mfano ndege inayotua in abiria 200, wanaotakiwa kuondoka 150 na ndege zingine 200. Sio hiyo capacity pale Mwanza.

Mwanza bado Sana kuwa reliable international airport ukilinganisha na Dar na Kia kwa Sasa. To me it's a wrong choice
 
Wanataka kuongeza safari na perdiem za viongozi wanaosafari nje. Wakifika mwanza wapande ndege kuja Dar au Dodoma.
Pure deal
 
Back
Top Bottom