Kulingana na UN-HABITAT, "Growth of African Cities 2010 - 2025, forecast.", Majiji yanayoongoza kwa kukua ni kama ifuatavyo:
1. Dar -es - Salaam[Tanzania]
2. Nairobi[Kenya]
3. Kinshasa[Congo]
4. Luanda [Angola]
5. Addis Ababa[Ethiopia]
Je, kuna lolote mleta mada[uzi] unataka kusema?
ninaamini Dar es Salaam inazidi kukua na itakuja kuwa squatter kubwa kuliko zote duniani....
Kulingana na UN-HABITAT, "Growth of African Cities 2010 - 2025, forecast.", Majiji yanayoongoza kwa kukua ni kama ifuatavyo:
1. Dar -es - Salaam[Tanzania]
2. Nairobi[Kenya]
3. Kinshasa[Congo]
4. Luanda [Angola]
5. Addis Ababa[Ethiopia]
Je, kuna lolote mleta mada[uzi] unataka kusema?
Hapo ndipo ubora unapotakiwa kuzingatiwa, na sio quantity.
Rwanda wana mpango wa kuboresha makazi ya watu vijijini..!!
Wenyewe wanasema.." ... HOUSING A FUNDAMENTAL RIGHT FOR EVERY RWANDAN CITIZEN.." ..!!
Na kweli, wanatekeleza....
Jiji la Kigali - Rwanda litaonekana kama hivi mwaka 2040..!!!
Vipi Tanzania tutaonekanaje ..????
Mzalendo umesema, Wabongo wanapenda kujidharau sana..hilo pia ni tatizo. Kila kitu mbongo anafikiri anayeweza ni jirani yake. Tembea uone umaskini utatamani kubaki nyumbani. Rwanda ni nchi ndogo kama mkoa wa Dodoma au Singida. Kama unaona Rwanda safi ni sawa na vile ambavyo Moshi au Mwanza wanavyosifika kwa usafi. Mkiwa wachache pia faida.
-Mfano:
Botswana.
Equatorial Guinea.
Namibia.
Shelisheli.
Nimekwambia tembelea SKYSCRAPERCITY kuna mengi ya kujifunza mkuu Mu-Israeli.
Kulingana na UN-HABITAT, "Growth of African Cities 2010 - 2025, forecast.", Majiji yanayoongoza kwa kukua ni kama ifuatavyo:
1. Dar -es - Salaam[Tanzania]
2. Nairobi[Kenya]
3. Kinshasa[Congo]
4. Luanda [Angola]
5. Addis Ababa[Ethiopia]
Je, kuna lolote mleta mada[uzi] unataka kusema?
Rwanda ni kama Mkoa wa Morogoro!
Unajua ukichukua eneo la Rwanda, Burundi, Uganda and kenya kwa pamoja bado Tz tuna elneo kubwa zaidi? Halafu idadi wa watu Kenya (40m) ni karibu sawa na Tz (45m)!
Tz has a potential to perform better.. kidogo2 tunaanza kuamka ndo maana kila jirani anataka kuwa rafiki na Tz!
Kule posta (CBD) mbona tayari kuna majumba marefu na mazuri kuliko haya??
nilipokuwa huko nilipitia eneo la posta mpya kwenye kituo cha mafuta cha Oryx, Hiedery Plaza pale, kuna hadi migahawa lakini hivyo vinyesi vinavyotiririka barabarani niliona ni bora ya hapa kwetu kisiwani!Rwanda ni kama Mkoa wa Morogoro!
Unajua ukichukua eneo la Rwanda, Burundi, Uganda and kenya kwa pamoja bado Tz tuna elneo kubwa zaidi? Halafu idadi wa watu Kenya (40m) ni karibu sawa na Tz (45m)!
Tz has a potential to perform better.. kidogo2 tunaanza kuamka ndo maana kila jirani anataka kuwa rafiki na Tz!
Nadhani muungwana anaongelea zaidi kwenye USAFI na sio urefu wa maghorofa. Dar kuna maghorofa marefu hayana Parking na maji watu wanapandisha kwa ndoo tena hayana lift. Pita kariakoo utaona.
Ila Dar 2040 itakuwa imetapakaa kinyesi kila kona kwani saa hivi tu kwa population iliyopo wameshindwa kumanage sewage so by 2040 tegemea mavi kila kona. Mfano halisi tembea kutoka Kijitonyama Sayansi hadi Chuo Cha Ustawii wa Jamii uone panavyonuka, utadhani mvua ya mavi imenyesha.
Dar ni chafu mno wajamaeni,
Nairobi leads what Utingo?
Kuhusu Rwanda, data za IMF, zinaonyesha kwamba GDP ya Rwanda ni dola bilioni 6, idadi ya watu ni milioni 10. So waweza kuelewa faida ya kuwa na watu wachache kwa nchi kama Rwanda. Tanzania GDP ni dola bilioni 28.
Nimeomba mtu aniwekee picha za Kibera, Mathare, Kamkunji..vitongoji vya Nairobi hamtaki..?