Mzalendo umesema, Wabongo wanapenda kujidharau sana..hilo pia ni tatizo. Kila kitu mbongo anafikiri anayeweza ni jirani yake. Tembea uone umaskini utatamani kubaki nyumbani. Rwanda ni nchi ndogo kama mkoa wa Dodoma au Singida. Kama unaona Rwanda safi ni sawa na vile ambavyo Moshi au Mwanza wanavyosifika kwa usafi. Mkiwa wachache pia faida.
-Mfano:
Botswana.
Equatorial Guinea.
Namibia.
Shelisheli.
Nimekwambia tembelea SKYSCRAPERCITY kuna mengi ya kujifunza mkuu Mu-Israeli.
Yes, Mkuu..
Hapa changamoto yetu sisi Tanzania ni ukosefu wa uzalendo.
Tungekuwa na uzalendo na nchi yetu, tungekua tumeendelea kuliko South Africa.
Maendeleo ni nini..??
Maendeleo ni kuboresha maisha ya watu, yaani watu wapate barabara nzuri, hospitali nzuri, maji safi, umeme wa kutosha, shule nzuri, reli nzuri zinazofanya kazi, n.k.
Kwa utajiri wetu sisi Tanzania, tungetakiwa kuwa navyo vyote hivyo na zaidi...!! (Right..??)..
Sasa viko wapi ??
Yaani tunashindwa na nchi'maskini' kama Kenya...!!(Hawana utajiri kama sisi)..
Yaani tunashindwa na nchi 'maskini' kama Rwanda ...(Hawana utajiri kama sisi)... n.k.
Tanzania sisi hata reli ambayo tulisha jengewa na wakoloni, tumeshindwa kuitunza tu...!!!
Viwanda tumeshindwa kuvutunza tu...!!!!
Utajiri tumeshindwa kuutumia tu..!!
Hapo ndipo ninapoungana mkono na Paul Kagame (Rais wa Rwanda), pale aliposema kuwa .'...akipewa bandari ya Dar aiendeshe kwa miaka saba tu, ataigeuza Dar kuwa kama Dubai...!!!' (kwa kutumia mapato ya bandari tu..!!!)
Wa-Tanzania tupo hapo...????