Jiji la Kigali-Rwanda mwaka 2040...!!!!

Jiji la Kigali-Rwanda mwaka 2040...!!!!

Mu-Israeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2012
Posts
2,454
Reaction score
975
Jiji la Kigali - Rwanda litaonekana kama hivi mwaka 2040..!!!

Vipi Tanzania tutaonekanaje ..????

16159_1_kigali1.jpg


kigali-city-tour.jpg


kigali-masterplan-1.jpg
 
Asante MzalendoHalisi kwa kumsaidi ndugu yetu Mu-Israeli ambayo nafikiri haijua vizuri Dar! Tembelea SKYSCRAPERCITY TANZANIA FORUM, uone mambo..Kigali si kitu kwa Dar!

Kigali shindanisha na Mwanza au Arusha.:heh:
 
Ni jambo la kheri...ila naona 2040 ni mbali sana, sasa sijui ni jambo gani linalowazuilia kuwa hivyo ndani ya 10 ijayo au pungufu

Mwaka 2040 sio mbali sana, ni miaka 27 tu ijayo.
Sisi angalia tulivyo miaka 50 baada ya uhuru, na hapo nchi yetu imekua na amani miaka yota hiyo.
jamaa wametoka vitani na wanaweza kutekeleza hayo, na ikumbukwe jamaa hawana utajiri mkubwa kama sisi.
Usije kushangaa, Tanzania ya mwaka 2040 ikawa hii hii tunayoiona leo, or worse..!!
 
dasalam by 2040 itakuwa kama unavo-iona ila KIGAMBONI ITAKUWA BALAAA MARA 100 YA KIGALI YA 2040...TAFUTA PICHA ZA KIGAMBONI MPYA KISHA FANYA PROJECTIONS UTANIAMBIA...
 
Kulingana na UN-HABITAT, "Growth of African Cities 2010 - 2025, forecast.", Majiji yanayoongoza kwa kukua ni kama ifuatavyo:

1. Dar -es - Salaam[Tanzania]
2. Nairobi[Kenya]
3. Kinshasa[Congo]
4. Luanda [Angola]
5. Addis Ababa[Ethiopia]


Je, kuna lolote mleta mada[uzi] unataka kusema?

Sawa kabisa, ukuaji wa quantity, yes Tanzania tunaongoza.
Tatizo ubora..!!
Angalia Nairobi kwa mfano, jamaa wako juu sana kwa ubora wa barabara (na wala hawana utajiri mkubwa kama sisi).

Check hii ndio Nairobi....

nairobi-hilton_1440-900.jpg


thikaroad.jpg


THIKA-SUPER-HIGHWAY1.jpg


greensuncities_thikard-18-of-45.jpg
 
Hujaona plan ya Kigamboni city nini? ila kweli, mipango sio matumizi.:kev:
 
Maendeleo yasiyokuwa ya watu yatakuja kuwapendeza wataalamu wa historia wa mwaka 3000
 
dasalam by 2040 itakuwa kama unavo-iona ila KIGAMBONI ITAKUWA BALAAA MARA 100 YA KIGALI YA 2040...TAFUTA PICHA ZA KIGAMBONI MPYA KISHA FANYA PROJECTIONS UTANIAMBIA...

Kigamboni tangu nianze kuisikia, sasa ni miaka karibu 10, hata daraja moja halijakamilika !!
Sasa niambie ....
Amini, Usiamini,...Tanzania ya mwaka 1970 ilikuwa nzuri kuliko ya leo.

Kwa nini...??
  • Reli zilikuwa nzuri, leo vipi ??
  • Viwanda vilikuwa vinafanya kazi... leo vipi..??
  • Nchi ilikuwa na reserve ya pesa zakigeni... leo vipi...??
  • n.k.......
 
Watu angalieni hiyo PLAN ya mji vizuri. Kila sehemu kuna miti na vibustani vya mauwa. Dar es Salaam imebaki Mnazi Mmoja na nashindwa kuelewa kwa nini hadi leo watu hawajaiuza hiyo Bustani na kumpa Mhindi fulani au Mwarabu ajenge hoteli.

Tulikuwa tuna hadi Uwanja wa Golf, wakaja Sheraton Hotel wakajenga hoteli lao ambalo hadi leo hii hawalipi kodi.

Dar es salaam litabaki kama Mji fulani wa zamaani nchi za Kiarabu, nyumba zimebanana kama Abiria ndani ya Mabasi kwenye Rush Ours.
 
TZ itakuwa zaidi ya hapo

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Tumbe dua iwe hivyo, maana watu wanasema 'pesa hazijai'...(kwenye account za Uswisi)..!!!

Tanzania tungetakiwa kuwa mbali zaidi ya hapo mwaka 2010..!! Maana utajiri wote tunao...!!

Fikiria kama Rwanda ingegundua gesi, mafuta, tanzanite, dhahabu na almasi nchini kwao...!! Ingekuwaje ???
Jamaa wangekuwa zaidi ya Ulaya..!!
 
Maendeleo yasiyokuwa ya watu yatakuja kuwapendeza wataalamu wa historia wa mwaka 3000

Hapo kwenye blue, Tuna mengi ya kujifunza toka hawa jamaa...
Jamaa wamejipanga, na zaidi ya yote, wana uzalendo na nchi yao, sio sisi tuna uzalendo na Uswisi...!!
Angalia hapa...

[h=2]African ministers tour rural housing project[/h]Kayonza/Rwamagana – Delegates who were in Kigali to attend a continental meeting on housing praised rural housing projects under Integrated Development Program (IDP) in Kayonza and Rwamagana districts.

Ba said Rwanda presents a typical example of an African country whose good leadership was steadily paving way for development.

He said Rwanda offers good lessons for Africa, adding that Shelter Afrique would help other nations emulate the same.

"The village we visited tells the story by itself...we have experienced quality organisation second to none, in Africa. It all goes down to good leadership. We travelled with a number of ministers and officials from other countries that I am sure are watching closely," he said.

The Ghanaian Minster of Housing and Water, Norfey Dua said Nyagatovu and Kitazigurwa model villages offered big examples to other countries.

"This is a good idea, well planned and well implemented. It's not easy to relocate people and later on help them settle properly. It's a fantastic idea and the government of Rwanda must be congratulated," he said.

Williams A. Idakwaji, an architect with the Federal Housing Authority in Nigeria said a society needed to be well administered to develop such villages.

He blamed most African countries for failing their people with bad politics, adding that resources were not the only prerequisite for development.

"I don't have words to express what I have witnessed, very smart people, not rich, yet living in an excellent environment. Most African nations are corrupt and doing disservice to their people.

Shelter-Afrique, was started in 1982 and currently has 44 member states.
Source: African ministers tour rural housing project - The New Times Rwanda
 
Back
Top Bottom