WomanOfSubstance
Platinum Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 972
Wakazi wa Dar wamezoea kinyaa![/QUOTE]
Sikubaliani na hitimisho hili.Kama mkazi wa Dar sijazoea na hakuna kubwa sana ninaloweza kufanya zaidi ya kuhakikisha mazingira yangu nayaweka safi na kwamba situpi uchafu au kufanya chochote kile cha kuchafua mazingira kwa kadri ya uwezo wangu.
Mbona umeelezea tu tatizo. Je kama ni wewe mjiji utafanya nini ili jiji liwe safi? its time to give na advice sio tu kuelezea matatizo. sorry if ofended
ningefanya haya: 1. Nikikataza watu wasitupe taka mahali basi nitakuwa nimewatayarishia mahali pengine pa kutupa hizo taka zao na siyo kuweka tu matangazo: 'hakuna ruhusa kutupa taka hapa. Manispaa.'
2. Miundombinu ya maji taka ijengwe kwa ubora na siyo mradi imejengwa na kuharibika baada ya muda tu.
3. Kuwepo usimamizi mzuri kwa kukusanya na kutupa taka.
4. Ukaguzi ufanyike mara kwa mara ili wale wanaotiririsha maji taka (kinyesi) kwenye mifereji usiku wadhibitiwe na wanaokaidi watozwe faini kubwa sana kwani hiyo ni mojawapo ya 'public nuisance offences'.
5. Kuundwe chombo madhubuti cha usimamizi au kuwepo na kampuni na watu 'serious' waajiriwe katika kuleta mabadiliko ya usafi wa jiji.
View attachment 42596. Magari chakavu yadhibitiwe na pia madereva wote wa daladala walazimishwe kuwa nadhifu.
7. Kujengwe 'public toilets' za maana na za kutosha jijini na zisimamiwe vizuri na pia kuwepo na matangazo makubwa wapi huduma kama hizo zinapatikana. ...
hee yaani mnakata gogo barabarani na kwingineko mnataka adam kimbisa afanyaje?Kama kuna mikoa au miji mingine kama Mwanza na Kilimanjaro wamefanikiwa, kuna maajabu gani waliyotumia ambayo viongozi wa Dar hawawezi kujifunza?
Aibu!
Mkuu Mbu naona umeongezea topic mpya of discussion.
Hebu tuijadili hii mada ktk picha, picha ya tatu kutoka mwisho ya huyu afande mwenye redi vest nyekundu.
hee yaani mnakata gogo barabarani na kwingineko mnataka adam kimbisa afanyaje?
...
....kuna wakati R Mengi alikuwa anatoa misaada kwenye hosp moja dar..akionyeshwa na ITV karibia dakika 10 akiwa wodini alisema ugonjwa wa kipindu pindu unatokana na kula mavi! akawapa misaada wagonjwa kisha akawaambia wawe wasafi(wasile mavi tena)
.....Zingatieni kanuni za usafi,msisubiri jiji kuja kuwajengea vyoo.....changishaneni nyie wenyewe pesa msafishe mitaa yenu..mnatoa michango ya harusi mpaka laki 5 mkiambiwa mtoe buku tu ya kununulia VIM ya ch.ooni hamtaki
Hitimisho.....wakazi wa DAR ES SALAAM wamezoea kinyaa/uchafu ni moja ya maisha yao...
hee yaani mnakata gogo barabarani na kwingineko mnataka adam kimbisa afanyaje?
....jamani hata suala la usafi mnawalaumu viongozi?....wewe kuchimba choo na kuzingatia kanuni za afya unataka kiongozi aje akushike mkono?
....kuna wakati R Mengi alikuwa anatoa misaada kwenye hosp moja dar..akionyeshwa na ITV karibia dakika 10 akiwa wodini alisema ugonjwa wa kipindu pindu unatokana na kula mavi! akawapa misaada wagonjwa kisha akawaambia wawe wasafi(wasile mavi tena)
.....Zingatieni kanuni za usafi,msisubiri jiji kuja kuwajengea vyoo.....changishaneni nyie wenyewe pesa msafishe mitaa yenu..mnatoa michango ya harusi mpaka laki 5 mkiambiwa mtoe buku tu ya kununulia VIM ya ch.ooni hamtaki
Hitimisho.....wakazi wa DAR ES SALAAM wamezoea kinyaa/uchafu ni moja ya maisha yao...
Nakumbuka mkuu..alisema ugonjwa wa kipindu pindu unatokana na kula mavi....alisisitiza sana.....kisha akawakabidhi misaada wagonjwa....alisema ugonjwa wa kipindu pindu unatokana na kula KINYESI KISICHOCHEMSHWA! naomba kuweka kumbukumbu sawa hapo
Nakumbuka mkuu..alisema ugonjwa wa kipindu pindu unatokana na kula mavi....alisisitiza sana.....kisha akawakabidhi misaada wagonjwa..
...ukitua hapa,
hasa pale Arrivals ukisubiria kuonana na afisa uhamiaji/kusubiria sanduku lako toka kwenye conveyor belt, kuna 'kaharufu' fulani kanakeraaa! (...jua umefika nyumbani!)
View attachment 4279
...mbona ukitua hapa, unapambana na marashi ya karafuu na al Oud fulani hivi?...
View attachment 4278
Hako kauwanja kandege kamekaa kama kagofu flani....