Jiji la Dar limeanza kuwa safi!

Jiji la Dar limeanza kuwa safi!

Dar ndio mkoa namba moja kwa uchafu na harufu kali ya uvundo tanzania..
 
Ukweli usemwe tu!
nimetembea mitaa kadhaa ya jiji la Dar es Salaam haswa haswa ile iliyokuwa ikiongoza kwa uchafu hakika nimeanza kuona mabadiliko.
Kwa sasa unaweza kuona aibu kutupa uchafu hovyo kwani unajihisi ukitupa uchafu hovyo unachafua eneo safi.
Miaka kadhaa ya nyuma ilikuwa sio tatizo kuachia uchafu popote kwani kila unapopita palikuwa na takataka.

Hongera kwa uongozi wa jiji...sasa mnatakiwa kumantain.

Naona jiji la Dar likienda kuchukua nafasi nzuri katika usafi wa mazingira.

BY CONCERNED CITIZEN!!
Weka picha
 
Back
Top Bottom