Jiji la Dar limeanza kuwa safi!

Jiji la Dar limeanza kuwa safi!

una haki ya kusifu ni sawa na mtoto w miaka 12 ndio kwanza aanze kutambaa lazima watu watashangaa kama unavyoshangaa wewe na kushangilia
 
Wangepangilia biashara ningewaelewa ! Ila biashara zilivyo holela hiyo ndio sehemu kuu ya uchafu
 
Kama ni UKAWA wamelifanikisha hili nitawapongeza ila kiukweli anayehamasisha usafi anajulikana sana
Wewe daktari ni wakati gani unatibu wagonjwa na wakati gani unakuwa bwana afya wa jiji? Mwajiri wako ni huyohuyo mmoja?!
 
Suma JKT wameanza kazi? Maeneo gani umetembea? Kuna "garbage bins" ambapo mtu akinywa maji anatupa chupa badala ya kutembea nayo siku nzima mpaka anachoka?
Nimeyaona gabbage bins pale Posta Mpya. Nilikwenda kupata huduma. Nikapita kwa mng'arisha viatu. Nikataka kutupa chupa ya maji. Nikaona kasha la uchafu. Hongera Dar.
 
Kama ni UKAWA wamelifanikisha hili nitawapongeza ila kiukweli anayehamasisha usafi anajulikana sana
Acha wivu bwana mbona kwenye serekali hamsiti kusema kuwa ni serekali ya Magufuli hiki na kile kimefanywa na Magufuli.
 
Ukweli usemwe tu!
nimetembea mitaa kadhaa ya jiji la Dar es Salaam haswa haswa ile iliyokuwa ikiongoza kwa uchafu hakika nimeanza kuona mabadiliko.
Kwa sasa unaweza kuona aibu kutupa uchafu hovyo kwani unajihisi ukitupa uchafu hovyo unachafua eneo safi.
Miaka kadhaa ya nyuma ilikuwa sio tatizo kuachia uchafu popote kwani kila unapopita palikuwa na takataka.

Hongera kwa uongozi wa jiji...sasa mnatakiwa kumantain.

Naona jiji la Dar likienda kuchukua nafasi nzuri katika usafi wa mazingira.

BY CONCERNED CITIZEN!!
acheni siasa tupieni picha
 
Weka picha
 
Wewe daktari ni wakati gani unatibu wagonjwa na wakati gani unakuwa bwana afya wa jiji? Mwajiri wako ni huyohuyo mmoja?!
Mult tasked and mult talented!
 
Back
Top Bottom