Jiji la Dar es Salaam mwanzoni 1887

Jiji la Dar es Salaam mwanzoni 1887

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
1,822
Reaction score
499
ImageUploadedByJamiiForums1442984305.632027.jpg
 
Saa hizi kupata kiwanja dar ni shida kweli, duh enzi hizo pengine huku kwetu g/mboto ni pori zito!
 
nawaza kuhusu waliokuwa wanaishi hapo.....hawapo tena kwa sasa....nataman waamke waone eneo lao lilivyojengwa ma lotion ya kifahari....
daaaah yawezekana mwaka 20200 huko mbeleni butiama kutakuwa na trafiic jam ya magari
 
hiyo camera ina uwezo kuliko yangu ya 2047! R.I.P wote wanaoonekana hapo.
 
Hili ni eneo la Kivukoni kama unatokea Posta ya Zamani kuelekea ferry. Hapo kushoto ni jengo ilipo sasa ofisi za Takwimu za taifa. Mbele kdg juu kuna wizara ya Ardhi.

Siamini, baada la jengo la takwimu ukivuka barabara kipande cha ardhi kinachobaki kuikanyaga bahari ni kidogo sana kuweza kujenga hiyo nyumba kubwa ya nyasi na makuti, labda kwa huku mbele ya stesheni
 
Dar ya miaka ya 1800s, bado ni nzuri kuliko Monduli ya 2015 ingawa Monduli ina mwanasiasa tajiri kuliko wote nchini waliowahi kuwepo kwenye historia ya Tanzania, Tanganyika na Zanzibar; Mzee wa UFISADI PAPA, JENEZA LINALOTEMBEA, EDWARD LOWASSA.



Duh we mchawi mpaka huku unashambulia tu. Aisee viva ukawa kuna watu wanaweweseka hata usipokuwepo
 
Kwa 1887 g/mboto mbali sana yaani ilala hupiti peke yako ni simba na chui wa kumwaga.

Nilipata kuhadithiwa kwenye miaka ya mwisho ya 1960s kulitokea matukio ya kuonekana Simba maeneo ya Kurasini Mivinjeni.
 
Back
Top Bottom