Kubwajinga
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,193
- 299
Kweli wewe ni Kubwajinga
Kweli Iliyo Uchungu Si Uwongo Ulio Mtamu.
EDWARD LOWASSA = FISADI BILA MAENDELEO MONDULI
Kweli wewe ni Kubwajinga
Dar ya miaka ya 1800s, bado ni nzuri kuliko Monduli ya 2015 ingawa Monduli ina mwanasiasa tajiri kuliko wote nchini waliowahi kuwepo kwenye historia ya Tanzania, Tanganyika na Zanzibar; Mzee wa UFISADI PAPA, JENEZA LINALOTEMBEA, EDWARD LOWASSA.
Hapo kwa RED ​VP WEWE UTAISHI MILELE NINI ?????????Dar ya miaka ya 1800s, bado ni nzuri kuliko Monduli ya 2015 ingawa Monduli ina mwanasiasa tajiri kuliko wote nchini waliowahi kuwepo kwenye historia ya Tanzania, Tanganyika na Zanzibar; Mzee wa UFISADI PAPA, JENEZA LINALOTEMBEA, EDWARD LOWASSA.
Camera zilishagundulika ndio maana zipo picha za abraham lincoln 1860s
Huo mwaka na camera, mmmm!
Duh we mchawi mpaka huku unashambulia tu. Aisee viva ukawa kuna watu wanaweweseka hata usipokuwepo
Hapo kwa RED ​VP WEWE UTAISHI MILELE NINI ?????????
Dar ya miaka ya 1800s, bado ni nzuri kuliko Monduli ya 2015 ingawa Monduli ina mwanasiasa tajiri kuliko wote nchini waliowahi kuwepo kwenye historia ya Tanzania, Tanganyika na Zanzibar; Mzee wa UFISADI PAPA, JENEZA LINALOTEMBEA, EDWARD LOWASSA.
duu! Aisee ww kweli ni Kubwajinga
Saa hizi kupata kiwanja dar ni shida kweli, duh enzi hizo pengine huku kwetu g/mboto ni pori zito!
Nyani haoni kundule. Huwezi kumshabikia Kubwajinga = Lowassa kama wewe mwenyewe sio Mjinga.
FISADI LOWASSA hatumtaki kuwa kinara wa BOT yetu, Mafuta na Gesi zetu, Dhahabu yetu n.k. Hatutaiweka nchi rehani ili kulipia UFISADI wa LOWASSA.
MAGUFULI-4-CHANGE (M4C) = 65%
LOWASSA = FISADI PAPA = 22%
Umekuja na huku sio. Haya huyo mbunge wenu marehemu, aliwezaje kuwa mbunge kumbe mgonjwa, haya na lile jitu kubwa, paniki ndogo tu kamba ikakatika, na miafya yake. Sikia Kubwajinga kinachoua si ugonjwa, kinachoua ni kifo, unaweza ukamcheka mgonjwa, wewe mzima ukafa ukamwacha, hao mahujaji waliokufa nao walikuwa wagonjwa?Dar ya miaka ya 1800s, bado ni nzuri kuliko Monduli ya 2015 ingawa Monduli ina mwanasiasa tajiri kuliko wote nchini waliowahi kuwepo kwenye historia ya Tanzania, Tanganyika na Zanzibar; Mzee wa UFISADI PAPA, JENEZA LINALOTEMBEA, EDWARD LOWASSA.
Sorry mkuu mpe kashfa Zote ila usimkebehi mtu kwa ugonjwa ,hujafa hujaumbika.
Si mbuni kaulimbiu zenu, mbona mnakazania sana M4C? Mmeshikwaje pabaya?