Jiji la Arusha limekuwa chafu chini ya Kihongosi

Jiji la Arusha limekuwa chafu chini ya Kihongosi

TheMaster

Member
Joined
Aug 10, 2023
Posts
61
Reaction score
131
IMG_2394.jpeg

Tangu Kenan Kihongosi aapishwe ukuu wa mkoa wa Arusha, hali ya mazingira ya mji si shwari tena kipindi ambacho ni high season ya watalii wengi kutoka ughaibuni

Barabara ni chafu

Garden za mji ni chafu

Roundabouts chafu majani yameoteana kiasi cha msituni
IMG_2395.jpeg

Arusha hatujazoea hivi mkuu wa mkoa yupo busy kurap hip-hop
 
View attachment 3427364

Tangu Kenan Kihongosi aapishwe ukuu wa mkoa wa Arusha, hali ya mazingira ya mji si shwari tena kipindi ambacho ni high season ya watalii wengi kutoka ughaibuni

Barabara ni chafu

Garden za mji ni chafu

Roundabouts chafu majani yameoteana kiasi cha msituni
View attachment 3427363
Arusha hatujazoea hivi mkuu wa mkoa yupo busy kurap hip-hop
Dar es salaam wauza wiwa wameigeuza mashamban9 wanamenya miwa na kutupa chini ...mkuu wa mkoa na wilaya kazi wanaye weza ni kula na kuny💩 tu jiji la dar lipo chini ya akina nani yaani cheni working ipoje vipi bira ya hofu mtu anafunguq biashara kwa kuchafua mji au kubadika matangazo ya karatasi kwenye nguzo na kutq na miundombini ya serikali bila ya hofu ...mkuu wa mkoa na wilay kazi yao ni nini ? Hivi mkuu wa mkoa kutoa amri ya kanuni za kufanya biashara kwa usafi inagharimu sh ngap9 hiyo amri ..leo nimepita round ubaut ya msimbazi kuelekea karume sija amini macho yangu yani wauza miwa wapo na mikokoteni wanafanya uchafu ambao hata mitaani kwetu tunapo ishi uwezi kufanya hivyo ukaachwa tu ....serikali ya mkoa inashindwa nini kuwska sheria kuwa popote unapofanya biashara,lazima pawe safi isionekane dalili ya uchafu ...kablq ya kufungua biashara lazima eneo liwe safi kabisa
 
Back
Top Bottom