Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,711
- 1,914
Mzee wa Rula hizo ni habari njema kwa mji wetu wa ARUSHA, lakini nani anasimamia hizo kandarasi??????????? Kama ni waziri Maghufuri naweza kidogo kuwa na matumaini!!!!!!!!!!!Uko sawa barabara hiyo itapita Ngaramtoni ya juu mpaka Njiro lakini hata hizi za ndani nazo zimo katika programe hiyo ya kuwekwa lami. Hivi CrashWise Arusha hakuna barabara za maana kabisa na hiyo ni programe ambayo ni lazima itekelezwe ili Arusha liwe jiji, moja ya sababu ya kuvuliwa ni hiyo ya barabara.
MPG & fmpiganaji
Ujenzi wa hizi barabara hauna uhusiano na CDM au Lema kwa taarifa yako hizi barabara zinagaramiwa na WB chini mradi wa kuboresha miundombinu ya EAC.Barabara itapitia maeneo ya Kisongo ,Njiro ,Moshono,KIA hadi Holili.
Barabara za katikati ya mji zipo chini ya mipango ya uendelezaji wa Jiji usisahau CDM wamewazuia madiwani wake wasishiriki nakushangaa unasahau mliwafukuza madiwani waligoma kususia vikao.Viongozi wa CDM wajue kuna baadhi ya maamuzi yatakuja kuwagharimu sana.
kazi ingine ilobaki ni halmashauri kusimamia hizo fedha za ujenzi.
Mana ccm watafuna hela lazima wamege mihela hapo.
Ngongo kama kawaida yako, akitajwa Lema ama chadema lazima utie neno.
Mbona unataka kuwawekea maneno mdomoni, wapi wamesema kwamba chadema haikuwafukuza madiwani hadi ulazimike kuwakumbusha?
Nanyaro nyoosha maneno.
Mkuu Mwita Maranya.
Ukisoma post zote utakutana na post ya mwanaukumbi anadai ujenzi wa hizo barabara ni juhudi za CDM na mbunge wa Arusha Mhe Lema nikatoa angalizo kwamba barabara hizo ni sehemu ya miradi ya EAC chini ya ufadhili wa WB.Nikaendelea kumwelimisha barabara za katikati ya jiji zipo chini ya halamashauri ya jiji nikaendelea kumpatia darsa kwamba ndani ya hiyo halmashauri ya jiji madiwani wa CDM hawashiriki vikao vya maamuzi au usimamizi wa hiyo miradi.Ebu niambie mpaka hapo kosa langu nini ?.
Kuna miradi miwili itatekelezwa wa kwanza ni mkopo kutoka WB,ambao umelenga kuboresha miundombinu ya barabara za ndani ya mji,mradi huu unaanza mwishoni mwa mwezi huu October,barabara zitakazojengwa kwa kiwango cha lami ni pamoja na kutoka roundabout ya florida kupita selian hadi kambi ya fisi,mitaa yote kutoka stend kuu ya mikoani hadi idara ya maji yaani chaga road,mtaa wa rombo shine hadi barabara ya Nairobi kupitia nyuma ya Father babu,Majengo crokoni hadi sakina barabara ya Nairobi
Pia kutaweka taa za kuongozea magari eneo la Kuingia stendi kuu,friends corner pamoja na corner esso,mradi huu utagharimu 8bilion
Mradi wa pili ni wa upanuzi wa barabara kutoka eneo la Machinjioni hadi Usa river,(four ways),pia barabara kutoka iliyokuwa dodoma road eneo la Ngaramtoni inateremka hadi International school moshi,kupitia viwanja vya magereza,olasiti,Terat,njiro hadi eneo la Chekereni inaungana na Old moshi road hadi usariver itajengwa kwa kiwango cha Lami,chini ya ADB,na mradi utaanza mwakani,mradi huu unatekelezwa kwenye miji(majiji) ya EA ili yawe na kiwango
Kuna miradi miwili itatekelezwa wa kwanza ni mkopo kutoka WB,ambao umelenga kuboresha miundombinu ya barabara za ndani ya mji,mradi huu unaanza mwishoni mwa mwezi huu October,barabara zitakazojengwa kwa kiwango cha lami ni pamoja na kutoka roundabout ya florida kupita selian hadi kambi ya fisi,mitaa yote kutoka stend kuu ya mikoani hadi idara ya maji yaani chaga road,mtaa wa rombo shine hadi barabara ya Nairobi kupitia nyuma ya Father babu,Majengo crokoni hadi sakina barabara ya Nairobi
Pia kutaweka taa za kuongozea magari eneo la Kuingia stendi kuu,friends corner pamoja na corner esso,mradi huu utagharimu 8bilion
Mradi wa pili ni wa upanuzi wa barabara kutoka eneo la Machinjioni hadi Usa river,(four ways),pia barabara kutoka iliyokuwa dodoma road eneo la Ngaramtoni inateremka hadi International school moshi,kupitia viwanja vya magereza,olasiti,Terat,njiro hadi eneo la Chekereni inaungana na Old moshi road hadi usariver itajengwa kwa kiwango cha Lami,chini ya ADB,na mradi utaanza mwakani,mradi huu unatekelezwa kwenye miji(majiji) ya EA ili yawe na kiwango
MPG & fmpiganaji
Ujenzi wa hizi barabara hauna uhusiano na CDM au Lema kwa taarifa yako hizi barabara zinagaramiwa na WB chini mradi wa kuboresha miundombinu ya EAC.Barabara itapitia maeneo ya Kisongo ,Njiro ,Moshono,KIA hadi Holili.
Barabara za katikati ya mji zipo chini ya mipango ya uendelezaji wa Jiji usisahau CDM wamewazuia madiwani wake wasishiriki nakushangaa unasahau mliwafukuza madiwani waligoma kususia vikao.Viongozi wa CDM wajue kuna baadhi ya maamuzi yatakuja kuwagharimu sana.
Hii mimi nilisikia kuwa ile kampuni iliyopewa tender ya kutengeza barabara toka Namanga - Arusha iliingia mkataba wa kutengeneza barabara zote za ndani ya Arusha baada ya kuvuliwa hadhi ya jiji. Na lingine Arusha ni mji unaotegemea barabara moja tu ya uhuru hivyo kusababisha msongamano mkubwa sana magari, hivyo solution pekee iliyoonekana ni kuweka lami njia za mtaani muhimu ambazo zinakwepwa na wenye magari kutokana na ubovu wake.
Kwa kweli wana Arusha hawatajuta kumchagua Lema kuwa mbunge wao