Mbavu za mbwa ndo matunda ya kukikataa chama tawala. Na bado mpaka ifike 2015 zitakuwa ni mbavu za panya..! Mtakula mstari boko mpaka mchague chama tawala..!
Ccm hamjaamini kuwa mlikwisha lipoteza jimbo la arusha? Lema hana tatizo kabisa
Kiukweli inavyosifiwa Arusha haifanani na misifa inayopewa.
1.Mitaa mingi ina nyumba mbavu za mbwa na iko 1km tu toka katikati ya jiji(Ngarenaro ovyo,Kambi ya fisi ovyo,Matejoo ovyo,Unga ltd ndo usiseme kila kitu ovyo.
2.Mibangi,Mirungi nje nje
Jiji gani hili wamelazimisha tu kua jiji.
zile picha uliziona?

Nilikuwa nakaa shamsi karibu na majengo na mbauda, timu yangu ilikuwa sanawari ya juu, mazoezi shule ya sekondari enaboishu, na nilikuwa nakwenda kwa miguu na kurudi. Arusha kamji kadogo saaana baado, nyumba nyingi za mabanzi, sanawari, matejoo mbauda, sekei unga ltd. Sana sana njiro, kijenge ndo atleast kuna nyumba nzuri
hizo ndio maskan za lema na wavuta bangi wenzake
Mbunge kashindwa VP kulibadilisha hilo jiji. Jamaa kanindokeza ni kambi ya kiti moto mirungi gongo bangi gundi na watumiaji wake ni ndo cdm members. ndo maana kukawa ni kuchafu sana. Mlevi saa ngapi atafanya usafi.
OK ndo sababu muda wote huko ni maandamano hakuna kufanyakazii. Ama kweli wajing a ndio waliwao.
Mbunge anaongoza walevi.
Jitahidini mpate kiongozi mwenye taalumu matapiga hatua. GENEVA OF AFRICA. HIVI NI KWELI A TOWN IPO HIVYO SIAMINI NTAKUJA NIJIONE. Duh Arusha hadi Ulaya ni jina kubwa kweli kweli