Jihadharini na Oman Air

Mimi nasubiri Hii Dreamliner ili ikiharibikia njiani viongozi wa Dini waje watuombea
 
Maea hostes wote ni wa Kibulushi wale wa Weusi sijui walitupwa madirishani....."aah!! Bora alabidi katuondokea"
 
Acha ubishi kama hujaexperience hiyo hali ndugu. Binafsi nilishanusurika kuzuiwa kuingia ndani ya KLM, na nilikuwa natoka Schiphol kwenda Nairobi. Na kuna jamaa yangu alishazuiliwa kuingia ndani ya British airways hapo JKNA. Na wanaozuia ni air hostesses ukiwa na boarding pass mkononi. Kwa hawa Waarabu walishawaelekeza familia nzima ndani ya ndege ya kurudi Dar badala ya kuwaruhusu kuendelea kwenda Heathrow airport. Na Kwa kuwa wale watu hawakuwa na experience ya kusafiri wakajua wanaelekea UK. Wanakuja kushuka wapo kipawa..
 

hapa mada ni Omanair mambo ya KLM ni yako
 
Kwa hiyo hiyo ndege nzima alipanda mtu mweusi ni yeye tu mmoja?Au kila siku wanapanda watu weupe tu kwenye ndege hizi?Sema ukweli huyo ndugu yako,amezuiwa kwa tatizo lipi,labda ameiba,au amebeba kitu cha hatari,silaha au vitu visivyoruhusiwa ndani ya ndege au mgonjwa wa maradhi ya kuambukiza nk.
 
Ndege nzima ilikuwa na abiria wenye jambiya yeye tu ndio alikuwa na laptop na Alikuwa hajavaa kilemba.
 
Hiyo ndege nimeitumia mara mbili sijaona hiyo kitu, au kuna jambo lilitokea inbetween? Anyway ngumu kuconclude maana haijatolewa sababu hasa ya huo mkasa, kunyanyaswa coz ni mweusi hiyo ipo nchi nyingi tu, lazima kulikuwa na issue nyingine.
 
Kitu Bwana FlyEmirates chakula kizuri wahudumu wapoole vinywaji kemkem..sio kunyweshwa kahawa tungu kwenye Omani Air unafika utasema umeenda na Roli.
 
Unasema umefanya uchunguzi ukagundua waliomzuia kupanda ndege kwenda London siyo maofisa wa uhamiaji bali wafanyakazi wa Oman Air. Jee hukuendelea kudadisi kisa cha kumkatalia huko wakati Dar walimruhusu? Lazima kuna sababu. Tusikimbilie kusema ubaguzi wa rangi bila kuwa na uhakika ni hivyo kweli.
 
Kwa sababu haijatokea kwako hawa jamaaa ni wabaguzi sana,mtu mweusi akipita airport yao hata kama una passport ya USA wanakusumbua

UONGO. Nimetumia sana Oman Air kwenda UK na France, hakuna kitu kama hicho wala suala la ubaguzi halipo. Uwe na document halali za safari tu hakuna wa kuzuia. Ukaguzi ni kitu cha kawaida.
 
UONGO. Nimetumia sana Oman Air kwenda UK na France, hakuna kitu kama hicho wala suala la ubaguzi halipo. Uwe na document halali za safari tu hakuna wa kuzuia. Ukaguzi ni kitu cha kawaida.
Usiwe mbishi watu wengi wamezuiwa kuingia kwenye Ndege ya Oman air kwenda others destination na ushahidi upo,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…