Jihadharini na Oman Air

Jihadharini na Oman Air

mzee wa manzese

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Posts
670
Reaction score
217
Napenda kuwatahadhirisha watanzania wenzangu ambao mnategemea kusafiri either kibiashara, kimasomo au matembezi msisafari na Ndege za Oman air.
Kuna ndugu yangu alikuwa anaenda UK, kwenye mkutano na ni mfanyakazi wa serikali ana visa ,barua ya mwaliko na kibali cha kusafiri nje.
Cha ajabu alipofika Muscat walimzuia kupakia Ndege ya kwenda London,
Amejaribu kuulizia sababu za yeye kuzuiwa,hawasemi,baada ya uchungaji tukagundua waliomzuia asisafiri sio immigration officer Bali ni watumishi wa Oman air,watu wengi sana wanazuiwa especially black people
Kama una ndugu au jamaa asipande hii Ndege watamrudisha
 
Dawa ni kutumia mkorogo tu
 
usiwe unaleta hoja za vijeweni .hakuna mfanyakazi yoyote wa Airline anaweza kukuzuia kundelea na Safari

baada ya uchungaji tukagundua waliomzuia asisafiri sio immigration officer Bali ni watumishi wa Oman air,watu wengi sana wanazuiwa especially black people

ina maana na wewe ulikuwepo hapo Airport Mucat?
 
Tangiapo hawa wenzetu wawe whites, browns or whatever wanamnyanyapaa sana mtu mweusi. Sisi tulitakiwa tujipende sisi kwa sisi, lakini ni kinyume chake . Sisi hatujipendi sisi kwa sisi badala yake tunawahusudu hao watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kusikia habari za watu tembea uone
mimi nasafili sana na uweuzi wangu mbona sijakutana na hayo mambo ?
 
Napenda kuwatahadhirisha watanzania wenzangu ambao mnategemea kusafiri either kibiashara, kimasomo au matembezi msisafari na Ndege za Oman air.
Kuna ndugu yangu alikuwa anaenda UK, kwenye mkutano na ni mfanyakazi wa serikali ana visa ,barua ya mwaliko na kibali cha kusafiri nje.
Cha ajabu alipofika Muscat walimzuia kupakia Ndege ya kwenda London,
Amejaribu kuulizia sababu za yeye kuzuiwa,hawasemi,baada ya uchungaji tukagundua waliomzuia asisafiri sio immigration officer Bali ni watumishi wa Oman air,watu wengi sana wanazuiwa especially black people
Kama una ndugu au jamaa asipande hii Ndege watamrudisha

Mh hii nayo ni mpya ndio maana our president ana weka jitihada za kununua midege yetu sie wenyewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom