Msipende kukurupuka kuanzisha threads zisizo na kichwa wala miguu. Yanini kuanzisha thread kama jina la mtuhumiwa hulijui ama hutaki kuliweka bayana?
Mimi nafahamu DIT kuna walimu wengi tu mafisadi wa mapenzi kama walivyo walimu wa vyuo vingine nchini. Ni ukweli kwamba hao wanafunzi wa short courses wanatafunwa sana lakini funga kazi ni wale wanaofanya bridging courses ndio kimbembe zaidi kwani wanatafunwa sana ili wajipatia marks za kuwawezesha kupata enrollment.