Jihadharini na gari number t655 aqw kwa kupora mikoba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jihadharini na gari number t655 aqw kwa kupora mikoba

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by muzachai, Mar 12, 2010.

 1. m

  muzachai Member

  #1
  Mar 12, 2010
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 41
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hili gari ninahusika sana na upolaji wa mikoba maeneo ya kariakoo na mnazi mmoja hasa kwa wale wanaopitia barabara ya uhuru. mimi mwezi wa pili walitaka kunipora begi langu wakidhani ni laptop kumbe kulikuwa nakaratasi hata vivyo hawakufanikiwa ila waliniburuza kama mita 30 hivi na mpaka leo nauguza mguu wangu wa kulia kwa vidonda. nilijaribu kupiga simu kwa kova, polisi na sehemu nyingine lakini hazina majibu hivyo nikwa mwashia mungu tu.
   
 2. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2010
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kwanini baada ya kupiga simu na hazina majibu usiende moja kwa moja kituo cha Polisi kilicho karibu yako?. Na vizuri ulishika na namba ya hiyo gari (japo yawezekana wana badili badili namba), ingekuwa mwanzo mzuri kwa Polisi kufuatilia.
   
 3. K

  Kabengwe JF-Expert Member

  #3
  Mar 12, 2010
  Joined: Oct 20, 2009
  Messages: 242
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Unatakiwa kwenda kutoa report polisi hata kama kesi ni ya siku nyingi!

  Hii itasaidia kufuatilia kuanzia TRA na watajua hilo gari ni la nani na watawakamata hao jamaa.

  Bado hujachelewa, nenda katoe taarifa polisi, kesi za namna hii Dar zimekuwa nyingi sana, na polisi wanashindwa kufuatilia kwasababu hatutoi taarifa muhimu kama hizi
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Mar 12, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kwanza tumpongezs kwa kuweka hizo namba za gari na pia tumsaidie kufikisha ujumbe... ni jukumu letu sote kusambaza habari, kesho hili gari linaweza kwenda kwimba na watu wakalia huko kote]

  tusaidiane kupambana na wezi hawa
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mkuu shukrani sana,

  ni aina gani ya gari? nadhani itabidi wale clouds na ile campaign yao ya usalama barabarani waweke hili hewani ili tuwe pamoja
   
 6. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #6
  Mar 12, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Noted
   
 7. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #7
  Mar 12, 2010
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,366
  Likes Received: 662
  Trophy Points: 280
  Aaaa,sasa hili gari ndio linapora mikoba au watu,na ulijuaje kama ndio tabia yake?ina maana umeliona likifanya vitendo hivyo zaidi ya mara moja?kama ndio kwanini huwa hauliripoti?mwisho,je nitakosea nikisema unashirikiana nalo?
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Mar 12, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Shiit!...yani gari inafanya shughuli hizo na bado iko inasaga lami tu mtaani?..hau-kamu?
  Embu jamani tuuishi ukweli, iam playing my part, can anybody do the same, only kama taarifa hii ni ya ukweli!
   
 9. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #9
  Mar 12, 2010
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,434
  Likes Received: 2,303
  Trophy Points: 280
  Ni bora ukaenda kuripoti police..... hata leo nenda. JF members naomba tuwe makini kuchangia post za namna hii kwani kichaa yeyote anaweza kutoa numba za gari lolote na kudai chochote. Pengine ana kisasi na mmiliki wa gari au jambo jingine lolote. Mkuu nenda police natumaini utapata msaada.
   
 10. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #10
  Mar 12, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Hsiku hizi wanatumia tukutuku mkuu. Sema risky kinyama. Ukikomaa tu,lazima wapige mwelekam
   
 11. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #11
  Mar 13, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  du pole sana na asante kwa taarifa ungetuelezea na jinsi wanavyofanya ingesaidi kwani kuna zile taxi zinapakiaga 1000 au mia tano naziogopaga sana
   
 12. m

  muzachai Member

  #12
  Mar 14, 2010
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 41
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Members mimi sio kichaa. nini umuhimu wa polisi kuweka namba za simu. nini umuhimu wa polisi kuweka website ya kulipoti matukio ya wizi.Nina namba ya kova ambayo nilipiga kwa siku nzima na haikupokelewa. nina namba ya polisi ambao huzitoa nilipiga nazo hazikupokelewa. Kwa kweli mguu wangu wa kulia mpaka leo umeumia. vile vile suruali niliyova siku ya tukio ninayo kwani imechanika. vile vile kidonda bado hakijakauka
   
 13. m

  muzachai Member

  #13
  Mar 14, 2010
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 41
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ukitaka kujua kero ya polisi uwe na shida. ni mmoja kati ya watu 40 anaweza akahudumiwa vizuri 39 wote wanasuffer. Mimi kwakuwa waliniumiza tu na begi langu ambalo walitaka kunipora waliliachia ndio maana nikashukuru mungu. Thanks to loard Mchaka mchaka wa Tabora boys umenisaidia. Kwani kama ningekuwa lege lege wangeondoka na nondo zangu muhimu. ambapo kwao zisingewafaa kitu. ila kwangu ni worth a billion. Ukweli polisi wa bongo wanakera sana na ukitaka kuwakamatisha kwa rushwa utaimaliza central nzima chamsingi ni kutumia mbinu za kijasusi katika kuwakamatisha rushwa.
   
 14. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #14
  Mar 14, 2010
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Believe me or not hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu atakwenda kufanya uhalifu na atumie gari lenye number plate halali hata siku moja. Nina amini hizo ni number fake na zaidi ukienda TRA unaweza kukuta hizo ni number za pikipiki au trekta.

  Tiba
   
 15. Nyamgluu

  Nyamgluu JF-Expert Member

  #15
  Mar 14, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 3,147
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  muzachai kaulizwa (paraphrasing here) anvyotuambia tujiahadhari na gari hio ana imply kua hilo gari hutumika mara kwa mara katika shughuli za uporaji, na kama ni hivyo yeye kaonaje au amejueje hilo?
  Halafu mkuu nafkiri ungeeleza aina ya gari ingesaidia zaidi, maana nina imagine mtu awe anapita kariakoo na ku concetrate kuangalia number plate, hehehehehe itakua ngumu kidogo.

  Actualyy you'll look like a retard!!
   
 16. m

  muzachai Member

  #16
  Mar 14, 2010
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 41
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nadhani tatizo ni lugha lakini ukweli ni kwamba haiwezekani hawa jamaa iwe ndo siku ya kwanza wanajifunza kutoka kwangu. hapan hilo lazima litakuwa na walakini. wanaonekana ni professional kuanzia dereva na huyo mkwapuaji vitu. Na ukweli ni kwamba plate number zile ni za gari na wala sio piki piki na wala sio za kuchongwa kwani walijisahu kuzima taa ya plate numba. Ni gari aina ya saloon ambayo ni ya private sio taxi yenye mistari. rangi kidogo ilikuwa ni utata lakini namba ilikuwa ni rahisi kuipata.
   
 17. m

  muzachai Member

  #17
  Mar 14, 2010
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 41
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  yote hayo ni possible lakini . hawa jamaa ni professional acha ni kitendo cha dakika moja tu . na wakapotea kwa kasi baada ya mimi kukomaa. hii tabia ipo na kila siku watu wanalizwa maeneo ya posta, mnazi mmoja na kwingineko. sisi watembea kwa miguu tunashida sana. najua wote wanaochallenge wana magari . but this is true , and comes from the bottom of my heart as a testimony. kuweni care hasa mnaobeba laptop hata ukiwa kwenye gari sometime utapaki na kuingia sehemu fulani na wakati unashuka tu ukajikuta unakwapuliwa begi lako na jamaa wanasepa. chao. mimi nimesevu ila nina jeraha bado nauguza sijui wewe mtembea kwa miguu mwenzangu
   
 18. K

  Kimweri JF-Expert Member

  #18
  Mar 14, 2010
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 3,998
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Usibishane na walioshiba watakulaza njaa.

  umetoa ushauri,kwa watu kuogopa gari lenye plate namba uliyotaja,this is the first report,may be later we can receive another report of an identical car,plate number or something.

  mnaosema wezi wenye akili wanatumia namba feki etc,jueni kuwa kuna sehemu wanazitoa/hifadhi hizo ID's zao,so it will be just a matter of time before someone put the pieces together.

  instead of jumping on the guy,lets just take this as a public notice,you either read it or pass on,you do not lament over it.it's not forced on you!
   
 19. m

  muzachai Member

  #19
  Mar 15, 2010
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 41
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  thanks
   
 20. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #20
  Mar 15, 2010
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Najua watu wa KOva wanasoma JF kwa sana tu. Kwa nini msifuatilie gari hilo na kuona ukweli wake hata kwa kutegeshea tu?
   
Loading...