Jihadharini na aina hii ya utapeli (true story)

Nikiwa mwanafunzi wa form two, rafiki wa kakangu alinifundisha utapeli wa aina hiyo. Huwezi kuamini kuwa ukishika akili ya binadamu utamfanya utakavyo. Pole sana kwa hao ndugu. Utapeli huu nimeujua 1988 hv.
 
Acheni tamaa ya kutaka kutajirika kwa Siku moja tuu,
Kwani huyo mganga yeye hataki kuwa tajiri mpaka utajiri akupe wewe??!!
 
Bila Shaka Story Ya 1 Ni Ya Manyaunyau....Daah!! Kiukwel Siamin Kma Mganga Anauwezo Wa Kunipa Mafanikio Au Kuninyima...Mwenywe Mamlaka Hayo Ni Mungu Pekee.
 
Asante Mleta Mada kwa darasa la lako...
*Hakuna short cut ktk maisha
*Umetuhadhari na utapeli (siku hizi hii issue imekua kubwa ndugu au jamaa wako wa karibu anahusishwa ktk utapeli vyema tunote matukio).....binafsi ilikua kidogo tu,kumbe details zangu zilikua zinatolewa na baba mdogo wangu(as if wao wamejua kupitia uongo wao) mwisho wa siku mbinu zao zikanistua kufuatilia (kiICT)nikakuta baba mdogo ni mmojawapo...mwaka wa tatu sina story naye -sijui bado kama yu hai au vipi.
 

Tegemea kupata Pm
 

Ilete mkuu ili tujifunze
 

mkuu hata hao waliolizwa waliambiwa ni mganga wa kweli.
 
Uyo manyau nyau ni tapeli.mpaka leo wananchi hamjui?

Waganga kama hawa dawa yao ni risasi tu! Maana ni umbumbumbu kuugeuza utapeli ndo fani ya kukuwezesha kuishi! Hata hivo siamin kama kwel katapelia M20+ then ashindwe ku....WATAPEL HAOHAO WAJINGA!
 
Waganga kama hawa dawa yao ni risasi tu! Maana ni umbumbumbu kuugeuza utapeli ndo fani ya kukuwezesha kuishi! Hata hivo siamin kama kwel katapelia M20+ then ashindwe ku....WATAPEL HAOHAO WAJINGA!

Ashindwe kufanyaje mkuu?ni kweli jamaa alitapeliwa pesa nyingi sana
 
sio matema bali ni matemwe, kuna jamaa anakaa ndani ya pango na anaitwa bogaboga, uyo jamaa ana uwezo wa kubadilisha kila sauti, hawa jamaa ni wezi sana hawana uwezo wowote wa kiganga

Teh teh teh,nilihisi tu kutakuwa na kamanda anatangulia kabla ya mganga na dili hawajaingia.
 

Hata mimi rafiki yangu alishawahi kufanyiwa hivyo,ila yeye alifanyiwa na mtu anayemjua kabisa na hata mwanamke wa huyo jamaa aliyefanya hicho kitendo,alishawahi kumwambia huyo aliyefanyiwa kwamba mpenzi wake anatabia ya kutapeli lkn jamaa hakuamini,siku ya siku akawekwa kikaangoni,aliambiwa atoe milioni sita apate milioni sitini,na kweli akafunguliwa sanduku linapesa kibao,akaambiwa achukue laki akatumie kwa matumizi yoyote hata ya pombe sababu hizo hela hazina masharti,baada ya siku tatu arejee na jibu,kweli baada ya siku tatu akathibitisha kuwa zilikuwa poa,ndipo alipotoa 6m,na kukabidhiwa huo msanduku wa 60m ila kwa masharti ya kulifungua baada ya masaa 3 alipokuja kufungua alikuta magazeti yamechanwa chanwa na si pesa na yule aliyemtapeli alitorokea zambia,jamaa akaishia kumfuata demu wa yule tapeli kumlalamikia,yule demu aliishia kumwambia kuwa kila siku alikuwa anamwambia tabia za mpenzi wake lkn hakutaka kusikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…