potwemakunge
Senior Member
- Feb 14, 2013
- 170
- 53
Asante mkuu kwa somo zuri, asikiaye na asikie, Really there is something to learn.
Mkuu hizi simulizi ni za kweli kabisa na zinatokea japo kuna wengine hawataamini. Kipindi cha nyuma kuna baba mmoja alihojiwa na ITV yeye alikuwa ameuza kila kitu... nyumba viwanja nk. Alisema walikuwa wanampeleka sijui mapori ya Kinyerezi sikumbuki vizuri. Na ni zamani sana mwaka wa 2002 hivi. Sasa kujibu maswali yako:Hizi ni stori mbili tofauti ambazo zimewatokea watu wangu wa karibu.(Za Ukweli Kabisa)
Mkuu hizi simulizi ni za kweli kabisa na zinatokea japo kuna wengine hawataamini. Kipindi cha nyuma kuna baba mmoja alihojiwa na ITV yeye alikuwa ameuza kila kitu... nyumba viwanja nk. Alisema walikuwa wanampeleka sijui mapori ya Kinyerezi sikumbuki vizuri. Na ni zamani sana mwaka wa 2002 hivi. Sasa kujibu maswali yako:
1: Mapango Tanzania yako mengi sana na hawa jamaa ni matapeli hivyo sio kazi kuyajua
2. Hao wazee na sauti mapangoni ni watu wa kawaida wanakuwepo mle ndani na kujivalisha mavitu ya ajabu ajabu. Sasa ukichanganya na giza na woga wa mlengwa basi inakuwa vigumu kugundua.
3. Hizo fedha zinakuwa zimefungwa kwa kuchanganywa na makaratasi. Wanatumia utaalamu wa kitabpeli kufunga malundo ya makaratasi na juu wanaweka noti halisi
Hawa ni matapeli au majambazi, hii hali sio ya kuikalia kimya, wengi wanaumizwa na hawa jamaa wa dizaini hii.
Mganga wa kweli tiba yake huwa haizid sh 500.
Jamani tusipende vya bure. Hizo pesa zote ni zaidi ya mtaji
au yeye alikuwa ana taka mambo yaende vizuri namna gani?Maana kupata tu hiyo mil 20 ni mambo safi kwa kiasi fulani..
Huo ni uzembe wa watapeliwa
Mil 20+600,000+1500,000+ 2mil ni zaidi ya mtaji
Acha apigwe tu
Hii hali ilinikuta mwaka 2002 but mshikaji wangu aliniokoa waliishia kula kama laki saba mm zilikuwa milion 500 zimejaa kwenye begi na mm walinipa 20000 ila story kidogo iko tofauti maana ktk masharti ilikuwa niwape laki tano kutoka benk wachanganye na dawa pamoja na kuguli la mjerumani ili itoke pesa ni story ndefu nitaileta kama wadau watahitaji kuisikia
Mkuu wala usiwe na shaka. Ni wengi wanaotaka kukusikiliza kwani ni wengi hulizwa kwa mtindo huu. Hakuna msomi au padri au shehe. Nakuambia huyo baba niliyemuona ITV mwaka 2002 alikuwa mtu smart sana na anaonekana mjanja lakini alivyokwapuliwa kila kitu kila mtu alishangaa. Hata mimi naamini hakuna dawa yoyote wanayotumia bali wanakuteka kimawazo na zaidi wanakuaminisha kuwa utakuwa tajiri! Karibu mkuu ukipata muda tuandikie..Hii hali ilinikuta mwaka 2002 but mshikaji wangu aliniokoa waliishia kula kama laki saba mm zilikuwa milion 500 zimejaa kwenye begi na mm walinipa 20000 ila story kidogo iko tofauti maana ktk masharti ilikuwa niwape laki tano kutoka benk wachanganye na dawa pamoja na kuguli la mjerumani ili itoke pesa ni story ndefu nitaileta kama wadau watahitaji kuisikia