Kuna thread iliyotikisa usiku wa Jana mpaka muda huu ihusuyo wachumba wa JF. Mhanga wa hiyo habari ameamua kuvunja ukimya na kuweka kila kitu hadharani kwa masahibu aliyokutana nayo kwa wachumba aliowapata kupitia hapa jamvini
Mengine mengi ni mambo binafsi nje ya jukwaa lakini baya zaidi ambalo linaweza kuathiri jukwaa ni hili la mtu moja kuwa na multiple IDs m
Yani nashindwa hata kushangaa, mtu Ana ID zaid ya moja , anaanzisha thread af anajijibu mwenyewe......pumbafuuu thana (kama kinyambe anavyosema)
Ina maana mods hawajamstukia tu, dah wangemerge IDs zake pangekuwa patamu aisee....
Ina maana mods hawajamstukia tu, dah wangemerge IDs zake pangekuwa patamu aisee....
Sioni sababu nyingine zaidi ya kificha uovu na madhambi tu. Lazima multiple IDs zinahusiana na ubazazi. Nikimtongoza Khantwe (samahani kwa kukutaja) kwa kitumia Eli79, siwrzi kumtongoza ICHANA (samahani tena) kwa ID hiyo coz huenda wanajuana na kuambiana mambo...so lazima mmoja nitatumia ID nyingine. Hata #LoveConnect mara chache utaona hizi common IDs, nyingi huwa ni mpya...something fishy is going on aisee
Je mshana jr una uhakika na huyo pia kama ni habari ya kutunga au ni kweli, tatizo JF kutofautisha hadithi na matukio ya kweli ni ngumu sana, ila ulichoshauri kifanyike ni muhimu.
mhhhh kama ni hivyo basi balaa, nimekuelewa sasa mkuu na yeye anatoka wapi na hiyo sampuli...pole yake sanaStory ya kutunga inajulikana na ya kweli inajulikana. Hii ni habari ya kweli na ameweka na mfano wa post nyingine ya jamaa inayosema natafuta shemale
Sina zaidi ya hii uionayo coz sina mission yoyote zaidi ya social interaction hapa...!Hahahah...hem na wewe niambie id zako zote pliiz
Sina zaidi ya hii uionayo coz sina mission yoyote zaidi ya social interaction hapa...!
...wewe je, tena naifaham ile nyingine...!