Aisee kwahiyo umetumia njia gani katk utafiti wako questionare au interview?namimi nataka nifanye..
hapo nimetumia individual
interview, vijana hawana hiana kukupa majibu, anza na maswali chokozi, u
kama vile unaonaje kazi yako; ulianza lini; then endelea na changamoto
unazokutana nazo, kisha muulize tu kwamba kuna mwenzio alinipa kisa
......................halafu zama naye
Baada ya hii,kafanye na ya wauza nyanya sokoni,wachaga na wapemba wenye maduka mitaani,wakata majani ya ng'ombe,walinzi wa nyumbani,madereva wa familia,mafundi,wacongo kwenye salon the list goes on!
Kama mtu hajiheshimu hajiheshimu tu,ataufanya mwili wake pipi kila mwenye mate amung'unye.

sasa katka research yako conclusion uliyopata ni ipi tatizo liko kwa watengeneza kucha au wake za watu na baadhi ya wanawake kwa ujumla.