Jihadhari na Wakata Kucha

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,141
13,215
Jamani chondechonde, pamoja na ajira milioni moja kuongezeka kupitia wakata kucha lakn hawa wamekuwa wakigegeda wake za watu sana na binafso nimefanya hako kautafiti na kuthibitisha,

can you imagine eti unafanyiwa pedicure/manicure na kijana.................

naomba nanyi mfanye utafiti
 
Aisee kwahiyo umetumia njia gani katk utafiti wako questionare au interview?namimi nataka nifanye..

hapo nimetumia individual interview, vijana hawana hiana kukupa majibu, anza na maswali chokozi, u kama vile unaonaje kazi yako; ulianza lini; then endelea na changamoto unazokutana nazo, kisha muulize tu kwamba kuna mwenzio alinipa kisa ......................halafu zama naye
 
hapo nimetumia individual
interview, vijana hawana hiana kukupa majibu, anza na maswali chokozi, u
kama vile unaonaje kazi yako; ulianza lini; then endelea na changamoto
unazokutana nazo, kisha muulize tu kwamba kuna mwenzio alinipa kisa
......................halafu zama naye

Research ya Wakata kucha?
What a Short range research!!
 
Baada ya hii,kafanye na ya wauza nyanya sokoni,wachaga na wapemba wenye maduka mitaani,wakata majani ya ng'ombe,walinzi wa nyumbani,madereva wa familia,mafundi,wacongo kwenye salon the list goes on!
Kama mtu hajiheshimu hajiheshimu tu,ataufanya mwili wake pipi kila mwenye mate amung'unye.
 
tutafika kote kwenye maoni, huu ni mwanzo,
Baada ya hii,kafanye na ya wauza nyanya sokoni,wachaga na wapemba wenye maduka mitaani,wakata majani ya ng'ombe,walinzi wa nyumbani,madereva wa familia,mafundi,wacongo kwenye salon the list goes on!
Kama mtu hajiheshimu hajiheshimu tu,ataufanya mwili wake pipi kila mwenye mate amung'unye.
 
hahah...wana muda mwingi wa kuchunguza miguu,mikono,mapaja na usafi wa mwanamke kwa ujumla...da wanafaidi..
SALUNIII.jpg

Kucha.jpg
 
we kama humfanyii, nani amfanyie? Kwako ujinga, kwa mwenzio mahabati.
 
Baada ya hii,kafanye na ya wauza nyanya sokoni,wachaga na wapemba wenye maduka mitaani,wakata majani ya ng'ombe,walinzi wa nyumbani,madereva wa familia,mafundi,wacongo kwenye salon the list goes on!
Kama mtu hajiheshimu hajiheshimu tu,ataufanya mwili wake pipi kila mwenye mate amung'unye.

point!
 
sasa katka research yako conclusion uliyopata ni ipi tatizo liko kwa watengeneza kucha au wake za watu na baadhi ya wanawake kwa ujumla.

walio wengi wanasema wametiwa majaribuni, aidha mtu anakuita umkate kucha baada ya muda anakwenda chumbani anarudi na khanga moko, au wengine wakati wa miguu anapandiiiiiiiiisha hadi karibia na ikulu uhamanike, au mwingine anakuita ndani etc .concl walio wengi vichocheo ni wanawake
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom