MAUBIG
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,040
- 859
View attachment 71348View attachment 71347View attachment 71349
Kwa wale ndugu zangu wa ulaji wa nyama choma hovyohovyo iko siku utakuja lishwa nyama ya huyo kiumbe anyeonekana hapo juu
kwa mfano umeingia hotel au kibanda cha chipsi ukaagiza nyama na ukaletewa kitu kama cha picha ya kati na ukajichana bila kujua
CHEERS GUYS
Labda kama wachina wamevamia kazi/biashara ya kina Mangi (wachagga wa kibosho)! Naona mikono picha ya kwanza.., nadhani atakuwa mchoma nyama wa kichina!
Hawashindwi kitu hawa jamaa!Usishangae wakaua soko la kina Mangi na sisi tukaanza kupapatika kwamba nyama ya mchina tamu zaidi ya ile ya Mangi. Everything foreign is best to most of the Tanzanians.
Kama wachina wanakula na wanatumia akili zao vizuri kuliko sisi kwanini nisile na mimi niwe kama wao?
Sie wa kwa Mkwawa wala tugaya sida wayawe,tunakula tuu.