PART ASIFIWE MALILA
Member
- Mar 21, 2024
- 35
- 68
Pombe haina shida, kikubwa kunywa kwa kiasi. Hata chakula ukila vibaya kitakuletea changamoto.Matumizi ya pombe kila siku ni Moja ya mambo yanayoathiri sana maendeleo yetu kwenye JAMII.
Takwimu mbalimbali zinatuthibitishia kwamba matumizi ya vinywaji changamshi, beer, konyagi yamekuwa yakiathiri sana maendeleo ya watu.
Kama mdau ninayependa maisha, AFYA ya akili asubuhi ya Leo ninapenda kuwekeza nguvu kukumbusha kuwa Pombe inaathiri sana AFYA, mahusiano na maisha kwa ujumla.
Tafakari chukua hatua!!!!!!
#partmalila #saikolojia
Thanks 🙏 Noted ✍️Matumizi ya pombe kila siku ni Moja ya mambo yanayoathiri sana maendeleo yetu kwenye JAMII.
Takwimu mbalimbali zinatuthibitishia kwamba matumizi ya vinywaji changamshi, beer, konyagi yamekuwa yakiathiri sana maendeleo ya watu.
Kama mdau ninayependa maisha, AFYA ya akili asubuhi ya Leo ninapenda kuwekeza nguvu kukumbusha kuwa Pombe inaathiri sana AFYA, mahusiano na maisha kwa ujumla.
Tafakari chukua hatua!!!!!!
#partmalila #saikolojia
Matumizi ya pombe kila siku ni Moja ya mambo yanayoathiri sana maendeleo yetu kwenye JAMII.
Habari bro...🙋♂️
Bro eti tunakatazwa kunywa pombe tutakosa maendeleo, yani pombe ya elfu tano inakwamisha maendeleo, wewe inakuingia akilini kweli hii?😅Habari bro...🙋♂️
View attachment 3688363
Haka kajamaa itakua kana mwanya😅
Chana naye! Hivi min kama nimekunywa sedikof asbh jioni si naweka vyombo kama kawa?Haka kajamaa itakua kana mwanya😅
Leo tulia usinywe kabisaChana naye! Hivi min kama nimekunywa sedikof asbh jioni si naweka vyombo kama kawa?
Unazingua bamnyogode 🥹Leo tulia usinywe kabisa
Unaweza ila sio vizuri nakushauri unywe tu keshoUnazingua bamnyogode 🥹
Mbona waliniambia naweza kutumia tu dawa ya maji haina shida😒
Ulishatumia ukaacha au unashuhudia uongo?Matumizi ya pombe kila siku ni Moja ya mambo yanayoathiri sana maendeleo yetu kwenye JAMII.