yusufu SAidy
Member
- Oct 18, 2015
- 40
- 18
Ansante sana kwa ushauri Mkuu
Hahahahaaa! Sahihi. Sura kama ganda la limao.hahhahahah !hope nawe una sura zakikurya
Hahaha...Sawa ntafanya hivyo. Pia naomba namba yako ya simu ili uwe una nishauri kabla sijapost kitu. Asante sana Mkuu
Siyo wote tuliisoma...siyo mbaya ku-repost vitu vya kusaidia watuHii mada imeshaletwa hapa jukwaani mkuu uwe una search kabla ya ku-post kiongozi.
Ahsante.
Hahaha...
HongeraHuo ndio umejaa tele