Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,589
- 112,292
Kha!!!Itakuwa diamond ndio mwizi maana mambo yake ya uswahilini sidhani kama atakuwa kayaacha kirahisi hivi
Kha!!!Itakuwa diamond ndio mwizi maana mambo yake ya uswahilini sidhani kama atakuwa kayaacha kirahisi hivi
Sio za kijinga. Mimi nyumbani waliingia ndani ya ukuta kutokea nyumba jirani ambayo huwa haina mtu saa za asubuhi na mchana (mpangaji single huwa yupo kazini saa hizo.) Mimi nilikuwa ndio natoka na gari. Mke wangu yupo chumbani. Kijana wangu mmoja ametoka. Alibaki kijana mmoja. Huyu akawa akitoka chumbani. Ghafla anakutana na mtu asiyemjua jikoni. Jizi lile likakurupuka kukimbia nje. Likaparamia ukuta. Hiloo likatokomea. Ilikuwa saa 6 mchana.Watu wa das'lam bwana!
tahadhari za kijinga wanapeana kila muda.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hama huko uzwaz.. Unaenda kukojoa wap sasa??
Choo cha nje shidaNdo maana mlango wangu mda wote naufunga.haijalishi naenda kojoa mara moja.
Mjini shule
Ndo maana mlango wangu mda wote naufunga.haijalishi naenda kojoa mara moja.
Mjini shule
Hahaaaa!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
jf ina raha zake!
Hapo kwenye intruder alarm,ufafanuzi please.kwa wenye uwezo tumieni teknolojia ya kisasa kama cctv na intruder alarm
kwa watu wa kawaida anzisheni ulinzi shirikishi unalipa 5,000 kwa mwezi
Nina kiwanja huko bora niuze tuKama kuna kitu kinaboa Goba ni wizi jamani,watu hatuna raha.
Asante kwa tahadhari
Intruder vp na watu wanaingia mkiwa mnaangalia taarifa ya habari TBCHapo kwenye intruder alarm,ufafanuzi please.
AsantePia usiache funguo mlangoni, tafuta sehemu nyingine ambayo iitaonekna kwa urahisi
Itakuwa diamond ndio mwizi maana mambo yake ya uswahilini sidhani kama atakuwa kayaacha kirahisi hivi
Nani anakukojoza?Ndo maana mlango wangu mda wote naufunga.haijalishi naenda kojoa mara moja.
Mjini shule
Usiuze Mkuu, Goba ni sehemu inayokua kwa kasi sana.Nina kiwanja huko bora niuze tu
Uuze kiwanja kwasababu ya vibaka? Utaenda kununua wapi Masaki?Nina kiwanja huko bora niuze tu