Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,214 Reaction score 50,188 Sep 1, 2020 #21 Boeing 747 said: ....mueleze kabisa....sasa hivi nikisikia notification kwenye cm, lazima nijiweke vizuri...ninabrashi viatu kbisaa....kusoma coments za wifi yako si suala la kitoto..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji38] Click to expand... Usisahau na kupulizia ile perfume yako, ili ukijibu comments zake ziende na marashi kama zake zinavyokuja zinanukia
Boeing 747 said: ....mueleze kabisa....sasa hivi nikisikia notification kwenye cm, lazima nijiweke vizuri...ninabrashi viatu kbisaa....kusoma coments za wifi yako si suala la kitoto..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji38] Click to expand... Usisahau na kupulizia ile perfume yako, ili ukijibu comments zake ziende na marashi kama zake zinavyokuja zinanukia
Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,214 Reaction score 50,188 Sep 1, 2020 #22 Boeing 747 said: ....ashukuriwe baba na mama kwa kutulea..[emoji7][emoji7] Click to expand... Kabisa bro ake, me ntakusupport hadi mwisho. Hua naumia kila siku wazazi wanapokusema kuhusu kuoa, nakuombea ufanikiwe wazazi wetu wafurahi
Boeing 747 said: ....ashukuriwe baba na mama kwa kutulea..[emoji7][emoji7] Click to expand... Kabisa bro ake, me ntakusupport hadi mwisho. Hua naumia kila siku wazazi wanapokusema kuhusu kuoa, nakuombea ufanikiwe wazazi wetu wafurahi
Boeing 747 JF-Expert Member Joined Mar 30, 2018 Posts 3,517 Reaction score 9,457 Sep 1, 2020 #23 Lenie said: Usisahau na kupulizia ile perfume yako, ili ukijibu comments zake ziende na marashi kama zake zinavyokuja zinanukia Click to expand... ......umekumbushia jambo la msingi sana.. .....Nikifika home ndiyo kitu nafanya
Lenie said: Usisahau na kupulizia ile perfume yako, ili ukijibu comments zake ziende na marashi kama zake zinavyokuja zinanukia Click to expand... ......umekumbushia jambo la msingi sana.. .....Nikifika home ndiyo kitu nafanya
Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,214 Reaction score 50,188 Sep 1, 2020 #24 Boeing 747 said: ......umekumbushia jambo la msingi sana.. .....Nikifika home ndiyo kitu nafanya Click to expand... Fanya hvyo bro wangu, yaan tuchukue point zote 3
Boeing 747 said: ......umekumbushia jambo la msingi sana.. .....Nikifika home ndiyo kitu nafanya Click to expand... Fanya hvyo bro wangu, yaan tuchukue point zote 3