zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,865
[emoji23]Kuna vya kuficha...
Usije ficha sana zikajaa mpaka kumwagika...na kukuachia maumivu.
Kuomba hela ni hisia kumbe?
Mbona unamcheka bro angu lakini, muelewe basi kabla hajaanza kuchizikaπ
Anafurahisha sana nduguyo πππMbona unamcheka bro angu lakini, muelewe basi kabla hajaanza kuchizikaπ
Me nampendaga tu kaka anguAnafurahisha sana nduguyo πππ
....moja ya mambo yanayonipa furaha, ni pale ninapoona unafurahi..[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
....mueleze kabisa....sasa hivi nikisikia notification kwenye cm, lazima nijiweke vizuri...ninabrashi viatu kbisaa....kusoma coments za wifi yako si suala la kitoto..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji38]Mbona unamcheka bro angu lakini, muelewe basi kabla hajaanza kuchizika[emoji23]
....ashukuriwe baba na mama kwa kutulea..[emoji7][emoji7]Me nampendaga tu kaka angu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa sawaTuko tunatathmini ilani ya chama cha ACT
Hahahah ila wewe jamani......mueleze kabisa....sasa hivi nikisikia notification kwenye cm, lazima nijiweke vizuri...ninabrashi viatu kbisaa....kusoma coments za wifi yako si suala la kitoto..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji38]
....... I am feeling you in me..[emoji8]Hahahah ila wewe jamani..