Junior Hamis
JF-Expert Member
- Aug 31, 2013
- 354
- 290
ahsante mkuu kwa kunirekebisha nilisahau kidogoMaji bana(navy) sio anga umekula maharage ya wapi wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
ahsante mkuu kwa kunirekebisha nilisahau kidogoMaji bana(navy) sio anga umekula maharage ya wapi wewe.
Mkuu naomba hivi collar insignia na ranks vipo vipi hivi vitu naomba ufafanuzi wake kidogo. Pia tisa mbili pale CO wake nilazima awe amekula course ile???...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati wa uzinduzi wa kamandi ya ardhi, aliyekuwa mkuu wa kamandi hiyo retired Major General Kisamba alihimiza ziko tatu tu na JKT hakuitaja. labda wote wako sawa ila walipishana kidogo lugha au sisi hatukusikia vzr au hatukuelewa vzr.
Pekua pekua lakini kaa ukijua JKT inasimama kama kamandi! Japo kiuhalisia kamandi ziko 3.
JKT/JWTZ
watu wengi wanachanganya na wakati mwingine kuhisi JKT ni kitu tofauti na JWTZ, kwa ufafanunuzi wa juu juu kidogo ni kuwa JKT ni part of JWTZ, hata ajira zao ni moja, mshahara ni ule ule, vyeo ni vile vile, officers cadet ni ile ile Monduli, na hata askari huweza hamishwa kati ya hizo sehemu mbili. Lakini nmeona watu wakibishana kuwa kama JKT ni kamandi ama la, kijuu juu ni kuwa JKT ni kitengo kikubwa Jeshini, shughuli zake na imani mnazifahamu; JKT tunweza kusema kuwa ni kamandi pia kama zilivyo Anga, Nchi kavu, na Maji kutokana hata na ukubwa wake hata na viongozi wake. Tofauti ni kuwa hizo zingine tatu ziko kiutendaji/kimapambano/kivita wakati JKT iko kiuzalishaji ndo maana wengine hudiriki kuiona JKT kama sio kamandi na wengine huona ni kamandi.
WAcha uongo wewe pumbavu kabisa..Kamandi ya nne ni ya Mizinga.
Jkt ni kitengo ndani ya jeshi
HAkuna Kamamdi inayoitwa ya Mizinga... Mizinga ni sehemu ya Jeshi la Nchi kavu (Land Force au Infantry)....Nyingine Field Engineer' na ArmourUmeonhea Sawa ila kamandi ya nne ipo unaitwa kamandi ya Mizinga.
Ni mimi TT AKA Terrible Teen , njoo hapa CRESTA Hotel ndo nimefikia.Wanajamvi nipo hapa njiani maeneo ya Singidani napunga upepo mwanana nimeona kuna gari ya jeshi la wananchi JWTZ ina nyota mbili huyu bosi kicheo ni nani? Karibuni makamanda mtuelimishe
Watu wa Kutoka Arusha mnatumia majina ya ajabu kweli hapa jamvini.Major general ipo rafiki resort singida si ndio kweli unapunga upepo wap hapo jomba sema ulikuwa unajipitia njia tu
Nipo road ya kuteremkia Regency hotel hapo now nimefika hotelinMajor general ipo rafiki resort singida si ndio kweli unapunga upepo wap hapo jomba sema ulikuwa unajipitia njia tu
Njoo Cresta Hotel Hapa ChiefNipo road ya kuteremkia Regency hotel hapo now nimefika hotelin
Inawezekana ila unakuwa jeshi la akiba si unaona JKT wapo mtaani ni jobless hao ni jeshi la akibaHivi kunauwezekano kufundishwa skills za kijeshi alafu unakua tu raia wa kawaida unaendelea na mambo yako
Siku hisi unamuonaaambona sijawahi kumwona amri heshi mkuu amevaa mavazi ya kijeshi?
Nyota ni kuanzia brigadier general inaitwa first star generalNyota ndio zipi hapo?
Wale wanaovaa mfano wa saa wanasimama wap?
MP anasimama wap kicheo?