Owkey, ahsante mkuu, nimekuelewa sana.Kuna chanting za kidini mnamualika Mungu au malaika wake
Kuna chanting za kishetani mnamualika shetani na mawakala wake
Kuna chanting za kishirikina mnaalika nguvu za giza
Kuna chanting za miungu, mnaalika miungu
- chanting ya Amitofo kwenye Buddhism mnamualika Buddha
-Chanting ya Hare Krishna
-Zen (chan)
-chanting ya hungry ghost
hiyo ni broomwind, niliisoma kwenye vitabu vya Joanne Rowling...Harry porter
nitaipataje huyo video?Nina video tuu
Nina video tuu
atakuaja usiku akupenitaipataje huyo video?