Mmmh kuna wakati kuna watu huwa nawaona humu sidhani kama ni binadamu halisi au ni majini.... Siwaamini sana na huwa nawakwepaNdio ilivyo Mkuu Kizibo,maana kuna watu humu wataalamu,yaani ukiwatibua basi MAZINGAOMBWE yanakujia.
Na iwe fundisho kwa wanajamii wengi humu jukwaani,ambao walioleta mzaha kama mimi.Mmmh kuna wakati kuna watu huwa nawaona humu sidhani kama ni binadamu halisi au ni majini.... Siwaamini sana na huwa nawakwepa
Ila mimi atakayenizingua sitamuacha kuna mmoja alinisababishia BAN kumbe ana ID kibao nina kisasi nayeNa iwe fundisho kwa wanajamii wengi humu jukwaani,ambao walioleta mzaha kama mimi.
Maliza huyo Mkuu.Ila mimi atakayenizingua sitamuacha kuna mmoja alinisababishia BAN kumbe ana ID kibao nina kisasi naye
Wee subiri mimi nitamchana live tena hapa hapa jukwaaniMaliza huyo Mkuu.
Huyo yuko Mkuranga,halafu analeta ngebe.Wee subiri mimi nitamchana live tena hapa hapa jukwaani
Hapana mimi sio mganga wala si mchawi
Osie eka du iwe uko kwa wavutika mesho niitieko iyo mivigha nieneyo eka du..kuna mbui sidaha zishimweea aha hata siku ng'wengaOsie izi mbui uanze ini kuzifufudua? Nakumbuka Gambian kipindi fulan kulikuwa na mama mmoja mzungu alikuwa anajifunza uganga wa kienyeji, nee akijata peku osie, ashinda toewa ngoma kio kigima.
Hebu nifundishe mkuu. PlsInawezekana kabisa lakini hutaiba nyingi kila kitu kina viwango vyake. .lazima kwanza ujifunze chuma ulete