Jifunze ushirikina hapa

Inachekesha kweli unapojitungia ID na kujipostia mwenyewe ili uonekane una support ya wengine... Hizi za kitoto kweli hizi
OK mkuu , jibu swali unapofundisha MTU kuendesha gari unataka awe nani?
 
Mkuu mshana nimeingia play store zipi nyingi sana hizo app so ipi ni bora zaidi nitajie nikaipakue
 
Wiccans assistant
Wizard vs magic
Free book of shadow
Zipo nyingi sana as I told you
Wizardry vs magic, free book of shadow n the like
Wiccans mara nyingi ni fantasies
 
Jamani hii ligi si mbaya ila sasa mnaenda mbali....
Hebu mpare abadili heading tuone itaendelea au
 
So it is always like that...+
Bro.....unajua najiuliza hapa.

Tunajua brain ina regions tatu na kila moja inakazi yake
Mtu akitolewa region ya mbele tu anaweza ishi ila atakuwa hayupo timamu

Sasa hawa viumbe wengine ambao wana operate rohoni wanawaze kufikiri, ku reason na kutoa maamuzi husika?
 
Ni lazima kuwe na mwili na roho ili kutengeneza nafsi ambayo ndio inakuwa na utashi wa kufanya maamuzi, lakini kukiwa kuna shida fulani kwenye hiyo nafsi basi matatizo huanzia hapo
 
Ni lazima kuwe na mwili na roho ili kutengeneza nafsi ambayo ndio inakuwa na utashi wa kufanya maamuzi, lakini kukiwa kuna shida fulani kwenye hiyo nafsi basi matatizo huanzia hapo
Hasa hizi spirit (mzimu,majini etc) hazina utashi zikiwa nje ya mwili???
 
Daaa we noma unajua nilikosea kusoma nikajua "jifunze kushirikiana hapa" ikabidi nirudie mara ya pili kusoma baada ya kuona picha mbona haziendani, ndio nikaelewa. Sasa cjui, ndio teyari .... nilikuwa naona kiini macho. πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…